Wananchi ndio wenye uwezo wa kuwahukumu Viongozi Mafisadi.Warusha mabomu

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Nathubutu Kusem hili ni Tukio la Kutisha kabisa na kusikitisha. Maskini Wananchi wasiokua na hatia wanapoteza roho, kuanyimwa rights zao zakukusanyika kihilali kwasababu tu serikali inangozwa na CCM.
Matokeo kama haya ynafaa yakomeshwe na wakuyakomesha ni wananchi wenyewe sio Polisi kwani hao polisi ndio anafiki wanaofanyakazi kwakupokea Rushwa .

Wala Serikali kwani Serikali haijali wananchi wake hasa (akiwa mwananchi huyo haamini sera zao za CCM). Na wala sio international au domestics mediar kwani wao ndio wanafiki wanaofanya upendeleo na kuchochea fujo.

Kwa kumalizia,katiba hata zije mia hazitaweza kuwaondoa mafisadi katika nchi hii, cha msingi wananchi kuamua na kuwaondoa mafisadi wote, wanyongeni mafisadi katika chaguzi, hakuna kurudi nyuma, ccm inatapa tapa haina pa kukimbilia, sasa imeamua kurusha mabomu.
 
Nakubaliana nawe Ghibuu ila ni lazima wananchi hawa waelimishwe kwanza na kupata habari sahihi juu ya kinachoendelea ili waweze kumjua adui sahihi na kumshughulikia.hii kazi inapaswa kufanywa na vyama vya upinzani,asasi za kiraia na kila anayeitakia mema Tz!mafisadi wako bize kuwalisha watu info potofu huku wakijustify info hizo kwa matukio ya kutengeneza.inahitajika nguvu ya ziada na juhudi za makusudi juu ya hili kuwastua watz toka kwenye usingizi wanaolazimishwa kulala.It's all about info-wars!
 
Back
Top Bottom