Wananchi na wapambanaji tumeanza kukata tamaa na CHADEMA

gost

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
275
135
Uzembe mkubwa unao fanywa na viongozi wa chadema watukatisha tamaa wapambanaji kuna mambo kadha yanavyo fanyiwa Kazi ndo yanayo tuvunja moyo
Mfano
1. Alfonce mawazo
2. Operation ukuta
3. Ben sanane ambae alikua Master mind wa namba 2
4. lisu
Uhairishwaji wa UKUTA matokeo yake ni wametutia uoga na nakwambia watangaze maandamano wata andamana sasa wenyewe kwa kua wapambanaji tumesha ogopa

Vifo, kupotea, na kupigwa risasi bila majibu na watu kushuhulikiwa haraka pia inatufanya tuendelee tu kuvumilia shida zetu kuliko kujiunga na jeshi la wakimbozi hewa wanao waacha wapiganaji nyuma bila majibu ya yalio wakuta
Tumesha kata tamaa na kama una bisha lete facts yako na nitakujibu Chadema original
 
Dah...Leo? Umechelewa sana..wengine kitambo sana tulishtuka....Kunahitajika mabadiliko makubwa CDM:)
 
Uzembe mkubwa unao fanywa na viongozi wa chadema watukatisha tamaa wapambanaji kuna mambo kadha yanavyo fanyiwa Kazi ndo yanayo tuvunja moyo
Mfano
1. Alfonce mawazo
2. Operation ukuta
3. Ben sanane ambae alikua Master mind wa namba 2
4. lisu
Uhairishwaji wa UKUTA matokeo yake ni wametutia uoga na nakwambia watangaze maandamano wata andamana sasa wenyewe kwa kua wapambanaji tumesha ogopa

Vifo, kupotea, na kupigwa risasi bila majibu na watu kushuhulikiwa haraka pia inatufanya tuendelee tu kuvumilia shida zetu kuliko kujiunga na jeshi la wakimbozi hewa wanao waacha wapiganaji nyuma bila majibu ya yalio wakuta
Tumesha kata tamaa na kama una bisha lete facts yako na nitakujibu Chadema original
Mku uzembe nao ni akili kwa anayetambua namna ya kupambana na adui ndo maana kuna Cfu mbili. Wenye akili hawataki kufika huko kwani mashambulizi ndani ya hizi cuf mbili yanaonekana
 
Ukiwa hujaoa wala huna familia utajua ni uzembe ila kama unafamilia una mke mzuri vitoto vizuri na uko nje una itwa babe na wakina sepetunga utajua ni majasiri vitu vitamu haviachwi bana vinaliwa kwa mahesabu anza we kulipuka sisi tutakuchangia na kukusindikiza
 
Uzembe mkubwa unao fanywa na viongozi wa chadema watukatisha tamaa wapambanaji kuna mambo kadha yanavyo fanyiwa Kazi ndo yanayo tuvunja moyo
Mfano
1. Alfonce mawazo
2. Operation ukuta
3. Ben sanane ambae alikua Master mind wa namba 2
4. lisu
Uhairishwaji wa UKUTA matokeo yake ni wametutia uoga na nakwambia watangaze maandamano wata andamana sasa wenyewe kwa kua wapambanaji tumesha ogopa

Vifo, kupotea, na kupigwa risasi bila majibu na watu kushuhulikiwa haraka pia inatufanya tuendelee tu kuvumilia shida zetu kuliko kujiunga na jeshi la wakimbozi hewa wanao waacha wapiganaji nyuma bila majibu ya yalio wakuta
Tumesha kata tamaa na kama una bisha lete facts yako na nitakujibu Chadema original
Utaambulia kuitwa pandikizi hii CHADEMA ya Mashinji,Mange Kimambi na WemA Sepetu imekua ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom