Wananchi na Chadema Tukaze Kamba Shingoni; CCM wanaondoka hao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi na Chadema Tukaze Kamba Shingoni; CCM wanaondoka hao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Mar 16, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ninatafakari na kuona ccm ikitumia kila mbinu kununua wananchi na pesa za raia. Kipindi hiki wananchi hawanunuliki na wanataka ccm muondoke. Hongera kubwa Chadema na wananchi wote wanaokataa hongo. ccm wamehonga wabunge na wengi Tanzania ila tuliowengi hatutaki pesa zenu za kifisadi kwani zimetuua wengi na zinaua mama zetu na baba zetu.
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  That is obvious ccm maji yamewafika shingoni na sasa hawana pa kutokea. Kitu kinachotia mearaja ni kwamba hata wazee wengi na akina mama sasa wamekipa kisogo. Wamechoshwa na ahadi hewa na sasa wanataka mabadiliko. Wengi wamefunguliwa macho na kuona jinsi wajanja wachache wananufaika wakati wananchi wengi wanataabika
   
Loading...