Wananchi Monduli wamkataa mteule wa Lowassa, wadai waliichagua CHADEMA

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
14,073
Points
2,000

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
14,073 2,000
Hatimaye Taifa limeamka na elimu ya demokrasia inayosambazwa na Chadema imeenea nchi nzima.

Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ulipita wananchi wa Mto wa Mbu huko Monduli Arusha walipiga kura na kumchagua kwa wingi wa kura mgombea wa Chadema lakini katika hali ya kushangaza inadaiwa kwa maelekezo ya mbunge wa Jimbo hilo Edward Lowassa msimamizi wa uchaguzi alimtangaza mgombea wa CCM ndiye mshindi.

Leo kulikuwa na mkutano wa wakazi wa Mto wa Mbu kumtambulisha Mwenyekiti huyo wa CCM hata hivyo ilitokea vurugu kubwa sana na wananchi walimtimua Mwenyekiti huyo kama kibaka na kuapa kwamba hatowaongoza.

Mara baada ya kumtimua kama kibaka mteule huyo wa Lowassa umati huo ulimbeba juujuu mteule wao wa Chadema na kumpeleka kiti cha mbele.Kulikuwa na polisi wengi lakini waliogopa nguvu ya Umma.

Umati huo ulikuwa ukiimba Fukuza vibaka,Fukiza wezi.

Kingine nilichokiona na weledi na utulivu wa askari wa polisi waliokuwa pale. They were very organized and coordinated kwamba kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha usalama na si kuingilia mchakato.

Pamoja na zile kelele na heka heka zote, hawakutawanya watu kwa mabomu wala virungu, na wala hawakuziita fujo. Walikaa imara wakiangalia kinachoendelea kama kina madhara kwa yeyote ama la. Hata wakati yule Mpendwa wa wanakijiji anakalishwa kwenye kiti na kurekebishiwa mavazi yake pale mbele, nilimwona askari mmoja, akiwa na silaha yake amesimama karibu kabisa na kile kiti, akiangalia kwa umakini kilichokuwa kikiendelea na baada ya yule kuketishwa, askari yule alionyesha sura ya tabasamu lakini yenye umakini mkubwa.

Tunahitaji askari wenye ufahamu wa kazi yao na wenye uwezo wa kutofautisha kati ya fujo na heka heka za michakato. Angekuwa kamanda usu, ungesikia mabomu ya machozi, virungu na risasi na damu kwa kisingiziokwamba wananchi wamefanya vurugu.

Niliona kitu kizuri sana hiki. Kwamba polisi wajifunze kulinda amani na kuhakikisha usalama wa raia na mali zao, siyo wao kuingilia michakato na kusababisha fujo.
 
Honeymoon

Member
Joined
Nov 23, 2014
Messages
88
Points
0

Honeymoon

Member
Joined Nov 23, 2014
88 0
hatimaye taifa limeamka na elimu ya demokrasia inayosambazwa na chadema imeenea nchi nzima.

Katika uchaguzi wa serikali za mitaa ulipita wananchi wa mto wa mbu huko monduli arusha walipiga kura na kumchagua kwa wingi wa kura mgombea wa chadema lakini katika hali ya kushangaza inadaiwa kwa maelekezo ya mbunge wa jimbo hilo edward lowassa msimamizi wa uchaguzi alimtangaza mgombea wa ccm ndiye mshindi.

Leo kulikuwa na mkutano wa wakazi wa mto wa mbu kumtambulisha mwenyekiti huyo wa ccm hata hivyo ilitokea vurugu kubwa sana na wananchi walimtimua mwenyekiti huyo kama kibaka na kuapa kwamba hatowaongoza.

Mara baada ya kumtimua kama kibaka mteule huyo wa lowassa umati huo ulimbeba juujuu mteule wao wa chadema na kumpeleka kiti cha mbele.kulikuwa na polisi wengi lakini waliogopa nguvu ya umma.

Umati huo ulikuwa ukiimba fukuza vibaka,fukiza wezi.
tutaelewana tu
 
laiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
1,065
Points
1,195

laiza

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
1,065 1,195
uongo mwingine huu unauleta leo baada ya matokeo rasmi kutangazwa. kazi yenu kupandikiza vurugu kwa kuwakodisha watu wafanye vurugu na kufukuza wateule halafu mnasingizia aliyeshinda ni wa chadema..mlikuwa wapi siku zote au ndio umeamka usingizini?
Hatimaye Taifa limeamka na elimu ya demokrasia inayosambazwa na Chadema imeenea nchi nzima.

Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ulipita wananchi wa Mto wa Mbu huko Monduli Arusha walipiga kura na kumchagua kwa wingi wa kura mgombea wa Chadema lakini katika hali ya kushangaza inadaiwa kwa maelekezo ya mbunge wa Jimbo hilo Edward Lowassa msimamizi wa uchaguzi alimtangaza mgombea wa CCM ndiye mshindi.

Leo kulikuwa na mkutano wa wakazi wa Mto wa Mbu kumtambulisha Mwenyekiti huyo wa CCM hata hivyo ilitokea vurugu kubwa sana na wananchi walimtimua Mwenyekiti huyo kama kibaka na kuapa kwamba hatowaongoza.

Mara baada ya kumtimua kama kibaka mteule huyo wa Lowassa umati huo ulimbeba juujuu mteule wao wa Chadema na kumpeleka kiti cha mbele.Kulikuwa na polisi wengi lakini waliogopa nguvu ya Umma.

Umati huo ulikuwa ukiimba Fukuza vibaka,Fukiza wezi.
 
slufay

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,385
Points
1,195

slufay

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,385 1,195

Ni kweli wametisha people 's power
 
lane

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
894
Points
225

lane

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
894 225
Ni nouma sana alooo! wananchi wameamka; wanatisha sana. CCM kweli kimekataliwa; yaani hadi monduli? safi sana....
 
J C

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2013
Messages
2,367
Points
2,000

J C

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2013
2,367 2,000
Nimeangalia tukio lile nimebaini mambo mawili: wale waliotaka kutambulishwa kweli hawakuchaguliwa kwa namna walivyopotea kisirisiri.Na la pili,Lowasa kumbe hakubaliki hata kwao.Huwa analazimisha kwa nguvu ya pesa.
Baniani mbaya kiatu chake dawa. Watu wanadeal na viatu vya baniani na sio baniani. Tafakari.
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Lowassa ni mpumbavu kama maccm mapumbavu kwa kubaka demokrasia, wananchi waliamua, Lowassa alivyo shetani akaamua kutumia fedha zake kupindisha haki!!

Huu upumbavu mwisho wake mwezi wa kumi............ Siku ambayo demokrasia itaamua na kuwahukumu maccm waliolaaniwa
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
17,166
Points
2,000

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
17,166 2,000
uongo mwingine huu unauleta leo baada ya matokeo rasmi kutangazwa. kazi yenu kupandikiza vurugu kwa kuwakodisha watu wafanye vurugu na kufukuza wateule halafu mnasingizia aliyeshinda ni wa chadema..mlikuwa wapi siku zote au ndio umeamka usingizini?
We endelea kuangalia tbccm tu, utakuja stuka Dr Slaa anaapishwa kupitia apo apo tbccm.
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,538
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,538 2,000
uongo mwingine huu unauleta leo baada ya matokeo rasmi kutangazwa. kazi yenu kupandikiza vurugu kwa kuwakodisha watu wafanye vurugu na kufukuza wateule halafu mnasingizia aliyeshinda ni wa chadema..mlikuwa wapi siku zote au ndio umeamka usingizini?
Kwa sehemu kubwa ccm walikuwa wanashinda kwa kuwa wananchi hawakuwa na elimu ya uraia. Sasa wananchi wamejitambua hali ndio inakuwa hivyo. Sasa hivi watu na hasa vijana wanapiga kura na kufuatilia viongozi kama kweli ni chaguo lao. Na hiyo ni trela tu, picha halisi lipo hapo october.
 
swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,662
Points
2,000

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,662 2,000
uongo mwingine huu unauleta leo baada ya matokeo rasmi kutangazwa. kazi yenu kupandikiza vurugu kwa kuwakodisha watu wafanye vurugu na kufukuza wateule halafu mnasingizia aliyeshinda ni wa chadema..mlikuwa wapi siku zote au ndio umeamka usingizini?
Ndio watanzania wameamka usingizini na bado

swissme
 
Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
9,339
Points
1,500

Filipo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
9,339 1,500
Lowassa ni mpumbavu kama maccm mapumbavu kwa kubaka demokrasia, wananchi waliamua, Lowassa alivyo shetani akaamua kutumia fedha zake kupindisha haki!!

Huu upumbavu mwisho wake mwezi wa kumi............ Siku ambayo demokrasia itaamua na kuwahukumu maccm waliolaaniwa
Huyu jamaa anatumia hela nyingi sana ili kuonekana anakubalika wakati ameshakataliwa long time kitambo!
 
Forum statistics

Threads 1,389,075
Members 527,848
Posts 34,016,539
Top