Wananchi Mikoa mbalimbali ya Tanzania wamemuomba Rais Magufuli kulegeza kamba mwaka 2017 ili maisha

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Suala la ugumu wa maisha lililotokana na kupungua kwa mzunguko wa fedha mitaani, linatajwa kuwa moja ya mambo yaliyowatikisa wananchi katika mikoa mbalimbali kwa mwaka 2016.
Wananchi Mikoa mbalimbali ya Tanzania wamemuomba Rais Magufuli kulegeza kamba mwaka 2017 ili maisha yarejee kuwa ya kawaida.
Mkazi wa Tegeta, Veronica Christopher ambaye ni mjasiriamali amesema mwaka huu ulikuwa mbaya kibiashara na kumuomba Rais alegeze kidogo ili mkono uende kinywani.
Kuhusu hali ngumu kiuchumi, Mchungaji Peter Chacha wa Kanisa la Pefa Kebosongo, Wilaya ya Serengeti, Mara alishangaa Serikali kutamba kwamba makusanyo ya kodi yameongezeka ilhali hali ya maisha mwaka 2016 ilikuwa ngumu.
 
Kuhusu hali ngumu kiuchumi, Mchungaji Peter Chacha wa Kanisa la Pefa Kebosongo, Wilaya ya Serengeti, Mara alishangaa Serikali kutamba kwamba makusanyo ya kodi yameongezeka ilhali hali ya maisha mwaka 2016 ilikuwa ngumu.
 
Suala la ugumu wa maisha lililotokana na kupungua kwa mzunguko wa fedha mitaani, linatajwa kuwa moja ya mambo yaliyowatikisa wananchi katika mikoa mbalimbali kwa mwaka 2016.
 
UNASINGIZIA NI WANANCHI GANI HAO WANAOPENDA NCHI IENDELEE KULIWA NA WACHACHE NDUMILA KUWILI !
 
Back
Top Bottom