Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Ajitokeze Mwenye Mahaba! Na Magufuli Ampige Deki Moyo Wake Arudishe Nyumba Za Nhc Alizouza Akiwa Waziri, Tunataka 5 Tu Ikiwemo Kebbys Hotel Iliyoko Mwenge Hii Pombe Ameikabidhi Kwa ## Kama Muendeshaji Mkuu, FaizaFoxy Mzima Lakini?! Wana Mabadiliko Maswali Ni Mengi! Pasi Na Majibu!
Lowassa hajanunuwa hizo nyumba?
 
Last edited by a moderator:
Wamechoka uteja wanataka mabadiliko ndio maana wamefanya hivyo. Wakichagua ccm wataendelea kuwa mateja na kukata tamaa maisha yao yote. Tafakari!

....hawa jamaa wana dharau!!! Ina maana teja sio binadamu?
 
Kwaio obama akidekiwa barabara sio mataahira ila mbongo mwenzetu akidekiwa ndio mataahira??? Wewe ndio utakua taariha hadi wanakunyosso.

Hayo yalofanyika Musoma ndo matunda yaliyojengwa na chadema, kwa kweli ni aibu tupu kwa wana Musoma mjini, wengi wao nimewaona walikuwa wamelewa sana viroba, kwa kweli hivi viroba vitawadhuru sana vijana wa Musoma.
 
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...

yan vijana wasikuhizi hata hamfikirii akinywa kiroba hapigi kura? na kama unadhani kura za kuchagua raisi ni za wasomi subiri tarehe 25.
 
CCM nao wameiga.

3004666A-5938-42C9-8103-F44300D780B7.jpeg
 
Back
Top Bottom