Wananchi Kutokujua KATIBA ya nchi ni aibu ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi Kutokujua KATIBA ya nchi ni aibu ya nani?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kabila01, Jan 7, 2011.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,014
  Likes Received: 1,827
  Trophy Points: 280
  Ukifanya tathimini unaweza kukuta asilimia 80 ya watanzania hawaijui na wala hawajawahi kuiona katiba ya nchi yao ya Tanzania. Wakati huo wanasiasa wanasimama majukwaani na kusema kiwango cha elimu hapa nchini kimepanda. hapo najiuliza ni elimu ipi iliyopanda ikiwa Idadi ya Watanzania wasioijua katiba ni kubwa kiasi hicho na mashuleni kuna somo la Uraia linafundishwa kuanzia shule ya msingi
  Ukiangalia hata hao walimu wanaofundisha somo la uraia hawajwahi kuiona katiba ya nchi hii.
   
Loading...