Wananchi kutakiwa kulipia huduma kwenye serikali ya mtaa ni Halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi kutakiwa kulipia huduma kwenye serikali ya mtaa ni Halali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mrembo, Jan 3, 2011.

 1. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Heri ya mwaka mpya wana JF.
  Leo nimekwenda kwenye ofisi ya serikali ya mtaa maeneo ya Kunduchi ili nijaziwe form kama mwana mtaa za kuombea Tin Number TRA, cha kushangaza nikaambiwa nitoe sh 5000 kuchangia Ghrarama za kuendesha office, na hela hiyo haitolewi Receipt. Nimejaribu kuchallenge kwanin iwe ivyo wakati serikali imeshatangaza tusikubali kutoa malipo yeyote kwenye office zake bila receipt, Niliyemkuta hapo akanijia juu na kuniambia kama sina imani na office hiyo basi niende kwengine.

  nauliza Je hii ni Halali? Tukimbilie wapi? hii issue nataka niipeleke mbele - mwenye ushauri nianzi wapi anijuze.
  asanteni
   
 2. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hili ni tatizo katika nchi nzima. Mimi nimetembea sehemu nyingi za nchi hii na kugundua kwamba kuna tatizo hili. Serikali haiwalipi viongozi wa mitaa kitu chochote hii ndiyo sababu hakuna mjadala ni lazima kulipa fedha hii. Ni sawa na nchi moja ambapo wanajeshi waliambiwa wajitafutie mishahara kwa wananchi.
  Sikubaliani na hali hii hata kidogo, kwa ushauri lipa. Na kwa vile 2015 tutabadili serikali basi suala kama hili likitokea tutajua pa kwenda ila kwa sasa hatuna.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  This is just the beginning much more to come!
   
 4. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Well, yaani tusubiri mpaka 2015! So Hii kitu imehalalalishwa na seriKALI?
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Wananchi kutakiwa kulipia huduma kwenye serikali ya mtaa ni Halali?

  Heri ya mwaka mpya wana JF.
  Leo nimekwenda kwenye ofisi ya serikali ya mtaa maeneo ya Kunduchi ili nijaziwe form kama mwana mtaa za kuombea Tin Number TRA, cha kushangaza nikaambiwa nitoe sh 5000 kuchangia Ghrarama za kuendesha office, na hela hiyo haitolewi Receipt. Nimejaribu kuchallenge kwanin iwe ivyo wakati serikali imeshatangaza tusikubali kutoa malipo yeyote kwenye office zake bila receipt, Niliyemkuta hapo akanijia juu na kuniambia kama sina imani na office hiyo basi niende kwengine.

  nauliza Je hii ni Halali? Tukimbilie wapi? hii issue nataka niipeleke mbele - mwenye ushauri nianzi wapi anijuze.
  asanteni
  shost we lipa tu hakuna ujanja ukitaka uende mbele zaidi utazidi kupoteza muda wako na kuchelewesha mambo yako hakuna wa kukusaidia woote ni mafisadi wa CCM. kama rais wao anataka kujilipa pesa za wananchi kupitia dowans sasa wewe unaona hatari hako ka elf tano, mpe tu eeh dada yangu, ila kiama chao kipo karibu sana usihofu mrembo.
   
 6. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ROHO INAUMA SANA WAJAMENI... Yani kwenye kodi wanatubana tunalipa, bora hata angeomba 2000!! 5000 jamani ni hela kubwa sana jamani. ni waTZ wangapi wataweza na gharama hizi? au ndio tukakabane huko barabarani? I am so fed up. ukienda Mahakani nako ndio usiseme
   
 7. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  we una bahati sana, yaani hiyo hali ndio inakutokea leo?!!! sie wenzako tulishazoea na huku kwetu ni hali ya kawaida. wanadai eti ni hela ya wino wa muhuri na karatsi, ukiwapelekea karatsi na wino sijui itakuwaje....this government is a crap.....from toe to head...
   
 8. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  eeh jamani tutafika kweli..eti gharama za uendeshaji office. Kama vipi si zisiwepo tu izo ofisi, kwanza zinaongeza urasim tu hamna lolote
   
Loading...