Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi na uchukuzi ametembelea magorofa ya Magomeni kota na kukuta ujenzi wake umekamilika kwa 100% na muda wowote kuanzia sasa wananchi watakabidhiwa makazi yao mapya bora kabisa.

Ikumbukwe wakati hayati Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 alikuta mgogoro mkubwa wa wananchi wa Magomeni kota kufukuzwa kwenye nyumba zao na eneo hilo kuuzwa kinyemela kwa tajiri Yusuph Manji.

Maeneo ambayo yalikuwa yamelengwa na billionea Manji ni Magomeni kota na Cocobeach

Wapi walipomlilia? Ifike mahali mkubali huyo jamaa kafa na hana legacy tena... amesahaulika mapema mno. Habari ya mjini ni CHUI JIKE.
 
Wacha kelele hiyo pesa iliyojenga hayo maghorofa ni yawalipa kodi watanzania, JPM hakuitoa mfukoni kwake, hapa anapongezwa kwa usimamizi.

Ww kama sio binti wa Kikwete basi utakuwa WiFi wa Mke wa Mbowe...kwani kodi imeanza kulipwa kipindi cha Magufuri tu,mbona miaka yote kabla yaye na baada ya yeye watanzania uwa wanalipa kodi na zinaishia kwenye Matumbo ya watu?.
Tunaongelea usimamizi nzuri wa kodi na Rasilimali za watanzania ulikuwa nzuri ,imara na madhubuti kipindi cha Hayati JPM.
 
Kuna Wajinga wajinga wanadhan JPM atasahaulika kwa Wanyonge kwa vistory vya hapa na pale

JPM binafsi nitamkumbuka sana kwa Mchango wake positive kwa Nchi yetu hasa wanyonge japo kuna kishughuli changu cha kwny flash alikipiga Mtama 2016 akanitoa kabisa kwny reli
Kitabu chake kimefungwa hata SPIKA wake Wamemnyonyoa
 
Kuna Wajinga wajinga wanadhan JPM atasahaulika kwa Wanyonge kwa vistory vya hapa na pale

JPM binafsi nitamkumbuka sana kwa Mchango wake positive kwa Nchi yetu hasa wanyonge japo kuna kishughuli changu cha kwny flash alikipiga Mtama 2016 akanitoa kabisa kwny reli
Damu iliyo mwagika ya kina tundu lisu, Beni saa nanenk! .....si haba unasema sababu una roho km yake!!.......ungefanyiwa wewe ivo!! wallahi usinge simamisha matako hadharani na kuropoka haya!!

wajane vijana wadogo wameachwa bila tumaini!! mbaya zaidi mayatima wale wanataabika hawaendi shule!! wamekuwa machokoraa tu!! mbaya zaidi aliye fanya unyama huo ni mweusi!! amemzidi ubaya hata Mkoloni!

watoto leo hawaiti baba!!...wana sononeko la maisha hao sasa je wakiwa Marais na wabunge wa kesho piga picha watakufanyaje mtu km wewe?? au wanao wa miaka ijayo tunajenga taifa la namna gani??

eti Gorofa ni Mali kuliko damu za ndugu zetu zilizo mwagika ??? ndo ujue SIKUZOTE KUWA Mungu ni fundi.......subiri....
 
Mimi ni Mtu huru na kila mtu ana pande mbili

Kwny thread zinazomkosoa JPM kwa mapungufu yake utanikuta huko namponda na kwny thread zinaonesha mema aliyofanya pia utanikuta namsifia

Hata Nyerere japo yupo kwny hatua za kupewa Utakatifu kwny Kanisa Katoliki hiyo haimaanishi hakuna uovu wala ukatili aliowafanyia watu

Kwny mazuri mtu asifiwe na kwny mabaya akosolewe

Yaan tuache kumsifu kwa Jambo jema kwa wanyonge wa Magomeni Kota kwa kuwa kuna watu walikufa au kupotea?

Mtume s a.w anasema '…Sema kweli japo inauma…'

JPM kafanya mengi mazuri hata kama kuna maeneo kaumiza watu
Tatizo la wabongo hawajui maana ya kukosoa,wao ni wakufanye uwe malaika(wakuelezee kwa mazuri tu na kuyanyamazia mabaya) au wakufanye shetani(wakuelezee kwa mabaya tu na kuyapotezea yaliyo mazuri). Ndio maana wakiona unaelezea mazuri ya mtu ambaye wao wamemfanya ni shetani hana jema basi huja juu wanaona kama unamfanya huyo mtu kuwa malaika na kuna watu wao ambao wamewafanya malaika hukuti wakiwakosoa wala hawataki kusikia wanakosolewa, wao hawaelewi kabisa issue ya mtu kuwa na pande mbili ya mabaya na mazuri.
 
Damu iliyo mwagika ya kina tundu lisu, Beni saa nanenk! .....si haba unasema sababu una roho km yake!!.......ungefanyiwa wewe ivo!! wallahi usinge simamisha matako hadharani na kuropoka haya!!

wajane vijana wadogo wameachwa bila tumaini!! mbaya zaidi mayatima wale wanataabika hawaendi shule!! wamekuwa machokoraa tu!! mbaya zaidi aliye fanya unyama huo ni mweusi!! amemzidi ubaya hata Mkoloni!

watoto leo hawaiti baba!!...wana sononeko la maisha hao sasa je wakiwa Marais na wabunge wa kesho piga picha watakufanyaje mtu km wewe?? au wanao wa miaka ijayo tunajenga taifa la namna gani??

eti Gorofa ni Mali kuliko damu za ndugu zetu zilizo mwagika ??? ndo ujue SIKUZOTE KUWA Mungu ni fundi.......subiri....
Juzi kati nimefiwa na rafiki yangu alikuwa bado kijana kabisa hakuwa na shida na mtu,sasa nikisikia hiyo kauli ya Mungu ni fundi inanifanya nifikirie huyu kijana alikuwa anaharibu wapi hadi Mungu aoneshe ufundi wake?
 
Upangwe utaratibu Mzuri na namna bora ya hao wapangaji kuchangia kodi ili faida ipatikane na yajengwe magorofa mengi zaidi na watu wafaidi keki ya taifa na siasa iwekwe Kando period!! Ila hao akina Manji wangepaendeleza kwa kushirikiana na wawekezaji wa nje, taifa lingesonga mbele zaidi na ajira zingekuwa nyingi kwa watanzania, badala ya hayo maamuzi ya kukurupuka ya mwenda zake!!
 
Wajitahidi kuyatunza, yako katikati ya mji yanapendezesha taswira ya jiji, sio baada ya miezi michache yaje kuonekana kama yalijengwa ya mwaka 47.
Waswahili hawa waliozoea maisha ya kizaramo ya daslamu ni wachafu wachafu tu(ashakum sio matusi)..hawawezi kuzitunza hizo appartment
 
Mimi nitakumbukwa kama rais wa hovyo kuwahi kutokea tz jambazi, liuuaji katili, likabila na fisadi lililojivika uzarendo fake. Wajinga tu ndio hawaelewi hayo
MA-Misukure ya chato ndo majinga majinga ya ivo!!.........Afanye yoote awezayo lkn Damu ya Lisu saa nane inamlilia huko ahela...na wana chato woooote !1 wamelaanika ajili ya jitu moja haya yooote linataka kujisafisha lkn wapi!!! dhambi iko hai hata afanyeje kwanza alisahau hata kutubu!! laana ya kwana hiyo.......liende tu
 
Back
Top Bottom