Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

Wengi hawatamsahau, labda nikupe mifano.
-Wazazi wa Ben Saanane hawatamsahau.
-Lissu kwa yale majeraha yake pia hatamsahau.
-Wazazi wa Aqulina pia hawatamsahau.
-Familia ya Azory Gwanda pia haitamsahau.

Hiyo ni mifano michache tu, hivyo ni kweli hatosahaulika kwani hata Hitler na Idd Amin nao pia bado wanakumbukwa mpaka leo na hawatasahaulika.
Hao uliowataja ni asilimia ngapi ya watanzania?
 
Wacha kelele hiyo pesa iliyojenga hayo maghorofa ni yawalipa kodi watanzania, JPM hakuitoa mfukoni kwake, hapa anapongezwa kwa usimamizi.
Pesa kutolewa na watanzania ni kitu kimoja, uwepo wa kiongozi anayeogopwa na mwenye msimamo mwenye kutumia vizuri pesa za wananchi ni kitu kingine tofauti kabisa.

Msisitizo wa nidhamu ya matumizi kuanzia juu kabisa ndio sifa ya JPM.
 
You’re misinformed, au unaamua kupotosha. Pole.
 
Hao uliowataja ni asilimia ngapi ya watanzania?
Ulitegemea nikuorodheshee Watanzania wote? What a cheap comment.

For your information, kila Mtanzania anastahili kuishi kwa haki, uhuru na amani. Every individual deserves to be treated equally.
 
Ni kweli kila mtu anastahili kuishi kwa haki uhuru na amani,lakini ujue pia kuliko kuhatarisha maisha ya abiria wengi kwenye basi inaruhisiwa kumpitia bodaboda mwenye abiria moja kuliko kumkwepa huku ukihatariaha maisha ya abiria wengi
 
Ebu taja hiyo sheria inayoruhusu huo upuuzi wako
 
Back
Top Bottom