Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

Wajitahidi kuyatunza, yako katikati ya mji yanapendezesha taswira ya jiji, sio baada ya miezi michache yaje kuonekana kama yalijengwa mwaka 47.
Nakumbuka maghorofa ya NHC, Ilala,Buguruni,Tandika, Keko Urafiki n.k.

yalipofunguliwa miaka ya sabini yalivyokuwa kivutio na kubadilisha mandhari ya mji wakati huo....Nenda kaangalie sasa yanavyoonekana, utafikiri muda wote nchi ilikuwa na iko vitani hadi leo.
 
Nimeshajitafutia hilo jina. Jina lenyewe ni hili, Jiwe lililosaga vyeti feki bin mafisadi bin majipu.

Una ushahidi gani kuwa Putin na Rais wa China wanajua kiingereza?

Hivi nikuulize wewe nyarusare, mbona Mzungu hajui kiingereza kiswahili kizuri kama wewe unavyojua kiingereza?

Kwa kiingereza cha Jiwe kilitosha tena kabisa kuwasiliana na beberu, pia si lazima Rais atumie kiingereza mwenyewe, Urais ni taasisi. Kuna wakalimani wa kila lugha, unajua kazi zao?

Kwa hiyo Rais kujua kiingereza kama unavyotaka wewe, si lazima. Akijua kidogo inatosha. Halafu acha ushamba, ushamba ni mzigo.

Yaani umesahau kuwa Urais ni taasisi wakalimani wana kazi gani? Ukijua hilo, ushamba wako, ambao ndio mzigo mkubwa kwako, utauacha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Uko sahihi Jiwe halina utashi/wala akili!! likitupwa ni limeenda... na umesema kweli lile rijamaa lilikuwa gujiwe! sikia wkt wa Industrial revolution Ulaya wazungu walikuwa wanaibiana vyeti fake! na mpaka leo wanafanya ivo!

angalia walipo!!.....mtakaa na kuwaita mabeberu tu!!...wazungu wanafoji kuja kunyonya Africa wanapongezwa mpaka na lesseni za kuchukulia watumwa africa walifoji! lkn watendaji walipongezwa na kuongezewa mitaji!

Hiyo walifanya ni kwa faida ya wazungu wenzao!! na waliofanya walichuliwa ni mashujaa!! Daktari, Engineer mzuri wenye vipaji wanajenga madaraja, na kutibu but alifoji cheti akasome!!! unamnyang'anya uwezo??

Jiwe km unavoliita lilishindwa kujua huyu mtu mpaka amefoji, basi ana nia, sababu, uwezo Mantiki ya kufanya ivo!! kifupi alipoteza nguvu kazi kijinga sana matokeo madaktari wenye ari, mori waliondolewa kazini aliko lazwa!!

matokeo yake unayajua vizuri, ndo hayo alivuna alichopanda! tena khakuchelewa.....tena wale wasomi wana umoja walimuondoa tu faster!

Eti unaogopa atakupinga? ndo maana hata Mungu alikasirika!!...yeye mwenyewe alifoji tu msomi gani hajui kiingereza, DR gani madarasa yooote hayo mweee!

Mafisadi si hela jamani Rais gani anakuwa na wivu ivo? kabisa kwa akili zako kujenga uwanja/ndege kijijini kwenu siyo ufisadi?? kila kitu kwenu siyo moyo wa ufisadi au ndo nyani haoni kundurewa madaraka ? naongea na mtoto au......

kusema Mzungu hajui kiswahili na amekutawala miaka kibao sijui km umesoma wewe!....awe na mkalimani?? Rais utaingizwa chaka wenzako anakuwa na mkalimani anajua na yeye pia anachokisema mkalimani!

Mimi siyo mshamba najua kuwa najua mimi ni mjuaji tena sana! Mshamba ni jiwe wako!!
 
Hao wananchi wajiandae kwa maumivu na vilio zaidi eneo zuri ivyo wapelekwe walalahoi kakwambia nani.

Hizo nyumba awaendi pewa walengwa aliowakusudia Magufuli kamwe zama hizi.

Tusubiri kuona ubabaishaji unaofuata.
Angola ilipopata uhuru, baadhi ya wanyonge waligawiwa nyumba kwenye maghorofa, wengine walihamia humo wakiwa na mbuzi kuku mbwa, lakini muda ni dawa safi, Siku hizi wanaoishi maghorofani huko Angola usiwaambie tena maisha ya vichochoroni.
 
JK alikuwa na dosari, Jiwe alikuwa na dosari. Tunarudi kule kule, hii mada ingeshaisha ila kwa kuwa unaonekana una kichwa kigumu, okay lets go! Una ugonjwa mmoja, unataka kusikia mabaya tu kwa JPM. Unafurahi kuona kila mtu anamsemea mbovu(huo ushamba), japo ana mazuri mengi tu.
No! hii ni mihasira ya jiwe jiwe!! mko km baba yenu amewaathiri wana chato! mie nasema ukweli kabisa ulivo! wote wana dosari lkn je kubwa na ndogo ni zipi??
huo ushamba)
Narudia tena, uelewe! kuwa Mimi siyo mshamba!! bali mjuaji!! kuna kigumu hapo?? naona narudia wimbo usiokuwa na chhorus!
ila kum attack mtu kisa kumpongeza JPM kwa mambo yake mazuri, sio sawa.
Kusema ukweli kuwa Jiwe alikuwa katili muuaji Dikteta wa kwanza Tanzania siyo attack!!! ni ukweli labda km huelewi maana yake kama mie ningeku attack usinge vumilia na kupata muda wa kunijibu rudi kasome upya hilo neno! ni ukweli jiwe alikuwa Rais hatari sana Africa, uliza yeyote humu!! hata hii JF alikuwa haitaki!!

Hakuna sehemu yeyote niliyoandika humu kwamba nampenda JMK wewe ni muongo!! ila naongea Mabaya na Mazuri yao!! na kusisitiza kuwa nilichukizwa na Ubaya waziwazi bila kumung'unya maneno!! ubaya nauchukia hasa kumwaga damu!
MM alitukanwa mpaka na watoto, hakupinga
Heee!! jamani Kikwete ni Babu yule wajameni!! sasa upige na vijukuuu mweee!! sijui sasa uwaweke ndani Mmm! wale si watani zake?? au nakosea? nyie chato huko kweli vichaa! kijukuu kikikutania fyeka fyeka???? weka ndani loool!! poleni sana sasa nani anahitaji tiba kati yangu na wewe unae fyeka vijukuu?? ni jibu....
JPM unam attack(
Na mazoezi yangu haya niki ku-attack dogo huchomoki!!! au hujui matumizi ya hili neno?? kalisome kwanza ndo uje!
si kuwa crush
Yaani Mazoea mabaya sana, sasa kwa sababu Jiwe wenu huyo alikuwa na crush visiki na kunyoosha barabara na Bulldozer na mie unanipachika jina baya hilo?? niombe samahani!
 
Angola ilipopata uhuru, baadhi ya wanyonge waligawiwa nyumba kwenye maghorofa, wengine walihamia humo wakiwa na mbuzi kuku mbwa, lakini muda ni dawa safi, Siku hizi wanaoishi maghorofani huko Angola usiwaambie tena maisha ya vichochoroni.
Huku kwetu huruma ya wanyonge kama akina mie inakuja na huruma ya kiongozi sio policy.

Hapo itawekwa discriminatory condition kupitia rent ambayo tia maji tia maji itawashinda na ndio watu waliostahili watakapopoteza haki zao za kupewa kipaumbele kwenye mgao.
 
Nakuona mno, toka kitambo, ukiona mtu anaongelea hata zuri moja la JPM unam attack(huo ushamba, narudia), hakuna aliyekukataza kumpenda JK, ila kum attack
Mie simchukii Jiwe kama Jiwe !! na kama unavo dhania!!! kwanza nilimpigia kura kabisaaa hilo ulijue... pale Salasala juu!! Kilima hewa!! ninacho chukia kwa jiwe ni vitendo vyake tu baaasi!!

vya uchu wa kuua bila kujali tena mwanadamu mwenzako,mbaya zaidi mweusi mwenzio sasa kaburu afanye nini?? hivi huyu anatofauti gani na beberu??? afadhali hata beberu.

kingine kutojali utu, tamaa, umimi, kujimwambafy, kutafuta umaarufu kwa kugawa pesa ya sirikali hovyo ili apendwe, visununu visivyoisha, kisasi!cha hovyo kabisa kuwa chukia wana daisalama!!

Hivi unajua mtu ukiwa na kinyongo/hasira lazima unapandisha Adrenalin nyingi mwilini hii itasababisha high blood pressure hence forth Atrial fibrillations! then kifo!! basi km siyo COVID!! ni hii ndo ilimuondoa!!

sasa ndg yangu hasira /vinyongo vyake visivyoisha aliviendekeza sana..akasahau tiba rahisi tu kujipumzisha, na kusahau mabaya yote aliyofanyiwa huko nyuma tu!! ...angalia sasa kikwete anapo tabasamu anajitibu yule! kwa nini jiwe hakujifunza hapo kwa mkwere? si alikaa nae miaka kibao??

lkn sasa yeye akaendekeza chuki na hasira vilimuua Rais wako! kwa kujitakia tu!...pamoja na maulinzi yoote akasahu kuwa kuna mambo ya afya yake Binafsi inamuhusu!

wana Daisalama kwa sababu tu hawakumuunga mkono kiviile! chukitayari akawandama kinoma nakumbuka maneno yake vizuri sana alisema atahakikisha wanadaisalama wanarudi kwao vijijini!!! sasa kuumbe anaenda yeye kijiji cha giza...

utawala wake ni kinyume na sisi watu, tuliozaliwa na watawala wa zamani!! utawala hauko ivo! sisi tunaamini kuwa Damu ya Mtu innocent haipotei bure....itakutafuna tu...sasa kunywa maji ulale!! huyo hatarudi tena sawa???!
 
Uko sahihi Jiwe halina utashi/wala akili!! likitupwa ni limeenda... na umesema kweli lile rijamaa lilikuwa gujiwe! sikia wkt wa Industrial revolution Ulaya wazungu walikuwa wanaibiana vyeti fake! na mpaka leo wanafanya ivo!

angalia walipo!!.....mtakaa na kuwaita mabeberu tu!!...wazungu wanafoji kuja kunyonya Africa wanapongezwa mpaka na lesseni za kuchukulia watumwa africa walifoji! lkn watendaji walipongezwa na kuongezewa mitaji!

Hiyo walifanya ni kwa faida ya wazungu wenzao!! na waliofanya walichuliwa ni mashujaa!! Daktari, Engineer mzuri wenye vipaji wanajenga madaraja, na kutibu but alifoji cheti akasome!!! unamnyang'anya uwezo??

Jiwe km unavoliita lilishindwa kujua huyu mtu mpaka amefoji, basi ana nia, sababu, uwezo Mantiki ya kufanya ivo!! kifupi alipoteza nguvu kazi kijinga sana matokeo madaktari wenye ari, mori waliondolewa kazini aliko lazwa!!

matokeo yake unayajua vizuri, ndo hayo alivuna alichopanda! tena khakuchelewa.....tena wale wasomi wana umoja walimuondoa tu faster!

Eti unaogopa atakupinga? ndo maana hata Mungu alikasirika!!...yeye mwenyewe alifoji tu msomi gani hajui kiingereza, DR gani madarasa yooote hayo mweee!

Mafisadi si hela jamani Rais gani anakuwa na wivu ivo? kabisa kwa akili zako kujenga uwanja/ndege kijijini kwenu siyo ufisadi?? kila kitu kwenu siyo moyo wa ufisadi au ndo nyani haoni kundurewa madaraka ? naongea na mtoto au......

kusema Mzungu hajui kiswahili na amekutawala miaka kibao sijui km umesoma wewe!....awe na mkalimani?? Rais utaingizwa chaka wenzako anakuwa na mkalimani anajua na yeye pia anachokisema mkalimani!

Mimi siyo mshamba najua kuwa najua mimi ni mjuaji tena sana! Mshamba ni jiwe wako!!
Kuna swali moja hujajibu bado, nalo unalijua.

Sasa Jiwe huwezi kusema alikuwa hasafiri kwa kutojua lugha, ni uongo kwani huna ushahidi hai. Pia huwezi kusema hakujua kuongea kiingereza wakati lugha ukiweza kuielewa akiongea mwingine ni hatua kubwa.

Kama ulivyosema, Rais wa China ukimuongelesha kiingereza anajibu kichina, basi na Jiwe naye alielewa kiingereza ila hakutaka kujifunza kuongea bara bara(alikuwa ni akili kubwa), hata mimi, ninaelewa ila sijui na sioni umuhimu wa kujifunza kuongea bara bara.

Yaani akiongea mtu namuelewa sana tu, ila kuongea bara bara siwezi na sitaki kuweza, hilo ndilo la msingi kwenye lugha yoyote. Upo hapo? Au niongeze dozi Nyaru sare?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tunampongeza JPM kwa kubuni na kufanikisha Ujenzi wa Magomeni Kota pia tunampongez SSH kwa kubuni na kutekeleza ujenzi wa miradi ya maendeleo kwa fedha za Mkopo wa IMF

Pia tunampongeza SSH kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Chief wa Makao makuu ya Chadema
fikirishi saana hii tungo
 
Kama ulivyosema, Rais wa China ukimuongelesha kiingereza anajibu kichina, basi na Jiwe naye alielewa kiingereza ila hakutaka kujifunza kuongea bara bara(alikuwa ni akili kubwa), hata mimi, ninaelewa ila sijui na sioni umuhimu wa kujifunza kuongea bara bara.

Yaani akiongea mtu namuelewa sana tu, ila kuongea bara bara siwezi na sitaki kuweza, hilo ndilo la msingi kwenye lugha yoyote. Upo hapo? Au niongeze dozi Nyaru sare?
emoji23.png
emoji23.png
emoji16.png
emoji16.png
Tee! tee!! tee!!! ...Umenikumbusha hadithi za drs la Tano zilee sizitaki mbichi hizi!! yule jiwe aliogopa katakata kukanyaga kule kwa Beberu!!! pamoja na kumpa offer ya kila kitu ......alikuwa anaonea tu!! matajiri vijana wadogo!! wajukuu zake!

Angalia Awamu zilizo pita wao walipigana na magwiji Mibeberu, wakatetea weusi kwa moyo wote!! mpaka tukala yanga!! Kiugumu ivovio tukawaunga mkono!

Jiwe yeye alipigana na na wajukuu--vijana Maskini wasio na uzoefu! akawapa sifa eti ''FISADI'' lkn wakongwe ACACCIA akashindwa mbaya!...sasa km hujui Wale ndo walimpiga beat asikanyage Ulaya!! ataona!...

na kweli yule bwana jiwe bana kafia Mtaani tu!! paleee Mlonganzila, unapiga kona hivi unaingia Reagent Estate! hata MNH hakutia mguu! Weee!! Ma rais Wenzake hawakumtaka Hata!! Kenyata hakumuita!

Angalia wenzake Julius, kikwete-(tezi dume), Che Nkapa tena huyu kamguu tu!! ...... hawa bana, walipo ugua tu kidogo!! Dege la jeshi la nje hiloooo!! full midawa na Madaktari nguli Mibeberu....mpaka waka kataa wao!! ..

wakasema kirahisi tu ''tutakuja bana wee!'' ila tunashukuru! ....lkn Jiwe walipiga kimya, hasaaa!! sasa ndg hii inakupa picha gani?? tulilia wenyewe!! lkn Nyerere, nkapa, Diana tuli lia na Dunia kabisaa!
na
Asa Babu Mtoto Mdogo unampa sifa ya u- fisadi ivi!! unajua anafurahi naku kucheka na kukubali hilo jina! wahuni wanaona sifa! wakamchezea mnoo! Babu yao ! uchumi ukayumba mbaya... hao!hao! watoto wakaondoa mitaji yao yote!!

Kuna kakijana kengine kengine ka Musoma vijijini, haka bana heee! yule Babu!!!.... kalikuwa kana piga misele humu Bongo!! vyombo vya habari km vyote!! eti kana msafisha!!...

haka bana kakamvuna Babu weee! hadi kakanunua Farm estate la kutosha hukooo! Kingdom of Lesotho mpaka leo na kesho hamkasikii! na magazeti kame yatelekeza hapo Bongo! hakaji huko!! mtakatafuna!! sema wapi umemsikia Msiba tena?

Lahaula!! maweee! Jiwe pressure ikapanda! akabaki peke yake wardin!....... kwa uoga tu! si akajifia! hao hao wahuni wakapita wanatangaza eti Babu kavuta!...sasa kale ka Lisu ni ka mtu kakupiga risasi kweli??? kale ange kaweka korokoroni tu!

Kutumia Risasi Maksudi kutaka kumuua Mripa kodi yuleyule ngunguri aliyegharamia hizo risasi ni makosa makubwa sana!! ambayo alipaswa kutubu hadharani faster! bila kuchelewa! Mungu alikasirika sana!

U-Rais bana unataka mtu makini, asiwe mkurupukaji, mwenye maono, mwenye roho ngumu nzuri! km kikwete siyo Rais mzima anakufakufa hovyo km kuku wa mdondo, na mbwembwe nyiiingi! za ulinzi! wa Mahelikopita!!

Samahani kusema kuwa Jiwe alikuwa kama Limbukeni flani hivi!....usikasirike sasa! make nyie bana mnajijua mlivyo!! Mie nakuhurumia kumpenda yule mfu ni dhambi eti unachukia dogo acha.......mbinguni hutaenda km ukimfagilia muuaji....

sasa wajameni wana JF mnisaidiye mie ....mtu anakutakia mema eti uende mbinguni! anakuombea uachane na ufuasi wa muuaji....... tubu hutaki/unaksirika/unarusha mikono, mweeee!!! tukufanyeje sasa.....majibu mnayo...
 
Duh, kweli hapa kazi ipo! Una ujuaji for nothing mzee! Sasa kuitwa na Wazungu ni lazima pindi ukiumwa? Bob Marley aliyeuawa kwa kutetea ukombozi, tena na Wazungu alikuwa mbaya? Halafu ongea vitu straight sio unafumba fumba maneno.

Kwa hiyo kipimo cha Rais bora ni yule akiumwa midege inatumwa, pamoja na madaktari weupe? Wewe una akili kuliko Einstein aliyekataa kutibiwa mpaka akafa? Jiwe ni rank za akina Bob Marley, Einstein n.k!

Swali moja hujajibu bado, unalijua sana tu.

Bado hoja yako ni dhaifu katika hili, kutibiwa nje au kutotibiwa ni maamuzi ya Rais, ana haki hiyo. Umeelewa hapo?

Halafu nikuulize, Accacia walishinda kama ulivyosema, au tuliwashinda? daah, jamaa unanilisha matango aisee, ila nakumudu! Lets go.
 
Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi na uchukuzi ametembelea maghorofa ya Magomeni kota na kukuta ujenzi wake umekamilika kwa 100% na muda wowote kuanzia sasa wananchi watakabidhiwa makazi yao mapya bora kabisa.

Ikumbukwe wakati hayati Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 alikuta mgogoro mkubwa wa wananchi wa Magomeni kota kufukuzwa kwenye nyumba zao na eneo hilo kuuzwa kinyemela kwa tajiri Yusuph Manji.

Maeneo ambayo yalikuwa yamelengwa na billionea Manji ni Magomeni kota na Cocobeach

😅😅​
 
Damu iliyo mwagika ya kina tundu lisu, Beni saa nanenk! .....si haba unasema sababu una roho km yake!!.......ungefanyiwa wewe ivo!! wallahi usinge simamisha matako hadharani na kuropoka haya!!

wajane vijana wadogo wameachwa bila tumaini!! mbaya zaidi mayatima wale wanataabika hawaendi shule!! wamekuwa machokoraa tu!! mbaya zaidi aliye fanya unyama huo ni mweusi!! amemzidi ubaya hata Mkoloni!

watoto leo hawaiti baba!!...wana sononeko la maisha hao sasa je wakiwa Marais na wabunge wa kesho piga picha watakufanyaje mtu km wewe?? au wanao wa miaka ijayo tunajenga taifa la namna gani??

eti Gorofa ni Mali kuliko damu za ndugu zetu zilizo mwagika ??? ndo ujue SIKUZOTE KUWA Mungu ni fundi.......subiri....
Acheni upumbavu nyie na akina ben sanane wenu ndo imekuww hoja ya kujiliza kila uchao? They fucced up anyways! Mtu ispomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
 
Hao walioishi hapo waligoma kulipa kodi kutokana na uchakavu wa majengo bila kukarabatiwa, lakini pia mgogoro huo waliuendekeza na kudai hati miliki! Pia walilipwa kodi kubwa ya kifuta machozi kubwa kuliko kodi yao ya Ukaaji wote!! Na pia ikumbukwe wapangaji halali walikuwa wameshaondoka kwa kustaafu au Kufariki, waliokuwepo ni wajukuu wa familia zilizokuwa zimepanga!!! Hata kwa kujipendekeza serekali inapoteza kodi bure za walipakodi!! Ni bora wenye eneo, halmashauri ya kinondoni ipange Matumizi bora ya hizo nyumba na so Vinginevyo
Uchawi sio lazma kupaa na ungo, wakifukuzwa hao wajukuu we unafaidika nini?
 
Yaani wewe ni Mtanzania wa Mfano usio wa kuigwa!! Yaani hujui umuhimu wa keki ya Taifa pamoja na kodi zetu kutumika kwa manufaa ya wote na sio kwa manufaa ya wachache kama bakshishi!? Au ni mchekelea kunufaika!?
Inasikitisha
 
Watu walishazaliwa hapo na kupazoea kama home. We unataka wafukuzwe ili iweje? Kodi si wanalipa kama kawaida?
 
Wacha kelele hiyo pesa iliyojenga hayo maghorofa ni yawalipa kodi watanzania, JPM hakuitoa mfukoni kwake, hapa anapongezwa kwa usimamizi.
Miaka yote kabla ya Magufuli Kodi zilizikuwa hazilipwi?mbona hazikujengwa miaka yote?

Katika siasa kuna upinzani na sio uadui.
Penda kukubali yanayofanywa na mpinzani wako.
 
Wacha kelele hiyo pesa iliyojenga hayo maghorofa ni yawalipa kodi watanzania, JPM hakuitoa mfukoni kwake, hapa anapongezwa kwa usimamizi.
Swala si fedha ya nani, sijui walipa kodi.

Hapa ni kuwa na kiongozi mwenye maono anae itumia fedha ya serikali vizuri kuleta maendeleo kwa wananchi.

Unajua huu msemo fedha ya wananchi uwa nacheka. Fedha ikishakusanywa kama kodi, si tena ya wananchi, inakuwa fedha ya serikali.

Ndo maana ili itolewe kuna watumishi watakao saini si walipa kodi tena.

Sasa kwanini apongezwe Magufuli? Iwe shirika, taasisi, serikali unampongeza mtu anapotumia hiyo fedha kwa ubunifu kuleta maendeleo mazuri kwa wananchi, taasisi au shirika.

Ni viongozi wangapi wanapata nafasi hiyo fedha ya serikali hawaitumii kwa maendeleo ya wananchi bali kwa faida yao.

Kilichoongelewa ni utayari wake wa kurejesha eneo kutumika na wananchi na kuamuru kujengwa maghorofa na wananchi kupewa kipaumbele, tena wa hali ya chini.

Lini hao viongozi wako Tanzania hii, walijenga Maghorofa ya hadhi hiyo na kuweka wananchi wa hali ya chini kama Magufuli.

Acha wivu wewe, utazeeka mapema.
 
JK alikuwa na dosari, Jiwe alikuwa na dosari. Tunarudi kule kule, hii mada ingeshaisha ila kwa kuwa unaonekana una kichwa kigumu, okay lets go! Una ugonjwa mmoja, unataka kusikia mabaya tu kwa JPM. Unafurahi kuona kila mtu anamsemea mbovu(huo ushamba), japo ana mazuri mengi tu.

MM alitukanwa mpaka na watoto, hakupinga coz kwa hili ni kweli alistahili matusi, ni laana mpaka watoto wadogo kukutusi kwa ufisadi wa serikali yako. Angejibu nini wakatu alibanwa kwenye angle 'matata'?

Hili haliondoi ukweli kuwa hakuwa na mazuri, JK alikuwa na mazuri yake, Jiwe pia likewise. Nakuona mno, toka kitambo, ukiona mtu anaongelea hata zuri moja la JPM unam attack(huo ushamba, narudia), hakuna aliyekukataza kumpenda JK, ila kum attack mtu kisa kumpongeza JPM kwa mambo yake mazuri, sio sawa.

Hulazimishwi, na hakuna akiyekulazimisha umu appreciate Jiwe, ila wengine wanaoona mazuri yake waache waseme pindi wanaposema, na si kuwa crush(hiyo ni dalili ya roho mbaya na ya kichawi).

Ukishindwa kuelewa na HAPA, you'll definitely be unokay and you'll need serious treatment! Hivyo nakupa nafasi ya kwenda kupata utatuzi wa tatizo lako.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Umemueleza kwa busara mno asipoelewa tena basi atafte daktari wa saikolojia.
 
Tee! tee!! tee!!! ...Umenikumbusha hadithi za drs la Tano zilee sizitaki mbichi hizi!! yule jiwe aliogopa katakata kukanyaga kule kwa Beberu!!! pamoja na kumpa offer ya kila kitu ......alikuwa anaonea tu!! matajiri vijana wadogo!! wajukuu zake!

Angalia Awamu zilizo pita wao walipigana na magwiji Mibeberu, wakatetea weusi kwa moyo wote!! mpaka tukala yanga!! Kiugumu ivovio tukawaunga mkono!

Jiwe yeye alipigana na na wajukuu--vijana Maskini wasio na uzoefu! akawapa sifa eti ''FISADI'' lkn wakongwe ACACCIA akashindwa mbaya!...sasa km hujui Wale ndo walimpiga beat asikanyage Ulaya!! ataona!...

na kweli yule bwana jiwe bana kafia Mtaani tu!! paleee Mlonganzila, unapiga kona hivi unaingia Reagent Estate! hata MNH hakutia mguu! Weee!! Ma rais Wenzake hawakumtaka Hata!! Kenyata hakumuita!

Angalia wenzake Julius, kikwete-(tezi dume), Che Nkapa tena huyu kamguu tu!! ...... hawa bana, walipo ugua tu kidogo!! Dege la jeshi la nje hiloooo!! full midawa na Madaktari nguli Mibeberu....mpaka waka kataa wao!! ..

wakasema kirahisi tu ''tutakuja bana wee!'' ila tunashukuru! ....lkn Jiwe walipiga kimya, hasaaa!! sasa ndg hii inakupa picha gani?? tulilia wenyewe!! lkn Nyerere, nkapa, Diana tuli lia na Dunia kabisaa!
na
Asa Babu Mtoto Mdogo unampa sifa ya u- fisadi ivi!! unajua anafurahi naku kucheka na kukubali hilo jina! wahuni wanaona sifa! wakamchezea mnoo! Babu yao ! uchumi ukayumba mbaya... hao!hao! watoto wakaondoa mitaji yao yote!!

Kuna kakijana kengine kengine ka Musoma vijijini, haka bana heee! yule Babu!!!.... kalikuwa kana piga misele humu Bongo!! vyombo vya habari km vyote!! eti kana msafisha!!...

haka bana kakamvuna Babu weee! hadi kakanunua Farm estate la kutosha hukooo! Kingdom of Lesotho mpaka leo na kesho hamkasikii! na magazeti kame yatelekeza hapo Bongo! hakaji huko!! mtakatafuna!! sema wapi umemsikia Msiba tena?

Lahaula!! maweee! Jiwe pressure ikapanda! akabaki peke yake wardin!....... kwa uoga tu! si akajifia! hao hao wahuni wakapita wanatangaza eti Babu kavuta!...sasa kale ka Lisu ni ka mtu kakupiga risasi kweli??? kale ange kaweka korokoroni tu!

Kutumia Risasi Maksudi kutaka kumuua Mripa kodi yuleyule ngunguri aliyegharamia hizo risasi ni makosa makubwa sana!! ambayo alipaswa kutubu hadharani faster! bila kuchelewa! Mungu alikasirika sana!

U-Rais bana unataka mtu makini, asiwe mkurupukaji, mwenye maono, mwenye roho ngumu nzuri! km kikwete siyo Rais mzima anakufakufa hovyo km kuku wa mdondo, na mbwembwe nyiiingi! za ulinzi! wa Mahelikopita!!

Samahani kusema kuwa Jiwe alikuwa kama Limbukeni flani hivi!....usikasirike sasa! make nyie bana mnajijua mlivyo!! Mie nakuhurumia kumpenda yule mfu ni dhambi eti unachukia dogo acha.......mbinguni hutaenda km ukimfagilia muuaji....

sasa wajameni wana JF mnisaidiye mie ....mtu anakutakia mema eti uende mbinguni! anakuombea uachane na ufuasi wa muuaji....... tubu hutaki/unaksirika/unarusha mikono, mweeee!!! tukufanyeje sasa.....majibu mnayo...
We ni shoga tu! Raisi anayekumbatia na kuutukuza ufisadi hata afanye mema buku ufisadi utamchafua tu.

Vyeti feki mna uchungu sana mkiona mambo makubwa aliyoyasimamia hayati Magufuli na akayaweza.
 
Back
Top Bottom