Wananchi angalieni nchi yetu inavyoendelea kuuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi angalieni nchi yetu inavyoendelea kuuzwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nancy Tweed, Jan 3, 2011.

 1. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi inaendelea kuuzwa.

  Video - Breaking News Videos from CNN.com

  Swali langu ni kwamba, kwanini kulima bonde la mto rufiji lazima waje wageni kutufundisha kulima? Hivi kwanini tuna chuo kama SUA kama kulima mpunga tuu ni lazima waje wa-korea? Jee "wasomi" wa SUA wanafanya kazi gani?
   
 2. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mjinga na wapumbavu wenzake washapiga mahesabu kwamba dola millioni 50 zitakuja kutoka Korea, yeye na mbwa wenzake kama yeye "samahani nimeshindwa kujizuia kutukana" watajipa mgao wa millioni 49; na millioni 1 itakwenda kwenye hilo shamba na wakorea watamiliki shamba kwa mkataba wa miaka 120.

  kichefuchefu zaidi ni pale anaposema "I have to go now and we do awareness laising (meant to be raising I think), we have to educate people"......"we know its a village land but we have raws (meant to be laws I think) in this country"..."we cant accept land to remain idle because villagers say this is my land, that is not ploper (meant to be proper I think)"....... and he goes on to say "According to me as chief executive of this organisation Im not accepting that"...."and if the koreans are coming, they are ready, to herp (meant to say help I guess) the farmers, to herp the young, to herp the whatever...." "accoring to the level of poverty they have"...and he finishes by laughing like a clown.

  Nina uhakika kabisa huyu atakuwa ni "msomi" fulani huyu, na hawa ndiyo wale wanaopiga kelele kila siku na kudharau wengine kwamba " aahh...yule mtu mwenyewe hata shule hajaenda"... Hivi huyu mtu bila kuangalia udhaifu wake wa lugha, tuangalie tuu udhaifu wake wa kufikiri, ubinafsi wa kauli zake, dharau kwa wanakijiji kwamba yeye kama chief executive basi anajua zaidi ya wanakijiji na "he cannot accept that"..... na kauli kama "the level of poverty they have"...

  wana jamii forum hawa ndiyo watu wa kutaka kujua CV zao, na inawezekana vipi mtu mpumbavu kama huyu anakuwa na majukumu makubwa ya kuuza ardhi kubwa kinyume na matakwa ya wananchi wa rufiji.
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbunge, madiwani ni wawakilishi wa eneo hilo wako wapi? Au wameshapata chao.
  Sijui nani awe mtetezi wa wananchi wa wabongo dhibi ya ADUI huyu (ccm)
   
 4. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yani hii nchi kila kukicha ni drama mpya zinafumuka, inaelekea watanzania wengi wamepoteza uzalendo na kujaa ubinafsi.
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ndo serikali tuliyoichagua hiyo.
   
 6. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Huyu mjinga wa wapi? Hii nchi itaelewa lini? What is 50million? Nancy asante sana kwa info naomba na mimi nijizuie kidogo hasira nilizonazo nitasema vibaya mods wanifungie.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mkiachiwa mtaiba ,na ushahidi upo ,bora warudi wale wakoloni.:whoo:
   
 8. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Hili lijamaa linafaa litangazwe jinga la karne.
   
 9. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SUA siku hizi hawako huko. Kwa sasa wamehamia kwenye ufugaji wa panya buku na si kipindi kirefu tutaanza na sisi kuuzia nchi za nje vitegua mabomu haya na kuingiza madollar za Mzee Obama.
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Wasomi wa Sua na wengineo wanahangaika kufungua baa na gest haus kwa imani kuwa ndo zinazolipa kwa haraka
   
 11. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Udhaifu wa lugha!!!

  Nancy huyu jamaa ni msukuma (kabila lake) kwa hiyo siyo ajabu kabisa kufanya hayo makosaya matamshi.
  Cha muhimu ni kuelewa ujumbe anaoutoa.

  Ni sawa na kumwambia mzungu aongee kiswahili halafu utegemee kuwa ataongea kiswahili fasaha,haiwezekani atafanya makosa mengi tu katika utamshi wa maneno yake.

  Sifikri kama umeshindwa kumwelewa ujumbe wake anaotoa simply kwa kutamka maneno vibaya.

  Kumbuka wasukuma hata kwa kuongea kiswahili chenyewe ambayo ndo lugha ya taifa wanafanya makosa mengi sana katika matamshi ya maneno,e.g wakurya nao wana matatizo yao. Hii inatokana na matamshi ya mama zao (mother tongue) wakati wa utoto wao wanapojifunza lugha au matamshi kwa mara ya kwanza kabisa. Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kubadilisha lafudhi zao wakiwa kwenye umri mkubwa. Umri mzuri wa kujifunza lafudhi ni pale unapokuwa bado mtoto.

  Cha muhimu ni kumwelewa anatoa ujumbe gani na siyo matamshi ya lugha ambayo siyo yake ya asili.

  Kumbuka mtoto wa mwingereza hata asipoenda shule anaweza kuwa mwongeaji mzuri sana tu wa lugha ya kiingereza hata kumpita kwa mbali sana mtanzania mwenye maPHDs mengi ya heshima.
   
 12. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kama nyafasi zenyewe zinapewa kwa majitu mapumbavu kama haya basi tumeoza! i was so ashamed watching this idiot talking garbage!Is he saying that as a Government TZ could not use its qualified Agricultural professionals and scholars to develop and manage farming in rural regions like Rifiji basin area!?? couldn't TZ Gov afford 50M USD? shame on you fool!!
   
 13. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika biashara hiyo wala usiwasahau waalimu wa chuo kikuu cha Mzumbe ndio wenyewe kwa kuchafua mji mzima wa Morogoro na biashara ya nyumba za ngono kila mahali. Wengi tunajiuliza kama tafiti zao huenda zinatabiria SEXUAL BOOM katika mji huu au simply wagundua kwamba WAPOGORO WENGI NI SEXY.
   
 14. F

  Fareed JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo hapa, kazi ya Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) ni kuvutia wawekezaji wakubwa wa kilimo kwenye bonde la Rufiji ambalo limekaa tu bila kulimwa huku Tanzania ikiendelea kuomba msaada wa chakula kutoka nje. Wacha waje Wakorea na hizo $50m wawekeze kwenye kilimo. DG wa RUBADA, Aloyce Masanja, anafanya jitihada sahihi kuvutia wawekezaji wa nje. CNN wametumia sensational journalism tu, Tanzania is not selling land to the Koreans, it is leasing the land.
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  sasa mtu kama bwana Aloyce Masanja anaiwakilisha nchi kusaini mikataba ya kimataifa leo hii natamka rasmi kusema mkwele wanamuonea. Sipati picha akikaa makamba na bw Aloyce Masanja meza moja wakishauriana na Gbagbo kuhusu mustakabali wa taifa
   
 16. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilishasema kwamba tuache mapungufu yake ya lugha na tuangalie uwezo wake kufikiri. Lakini kwa kuwa umekosa cha kuandika na lazima uandike, bado tuu ukafanya kama vile mimi nimeshambulia uwezo wake wa lugha. Kazi tunayo.
   
 17. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Crap.
   
 18. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wala hukutakiwa kuumiza vidole vyako kumshambulia kila mahali alipokosea kutamka, inaonyesha kiasi gani ulikuwa umemshupalia ktk matamshi yake.
   
 19. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  moron
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Muoneni mwengine huyu? kwani ndio leo tumeanza kuleta wa Taalamu wa kilimo Tanzania?

  Walisha kuja wa Canada, wakatuachia mashamba na ma mashine mazuri tu ya kulimia, mama yangu! walipoondoka tu, kila kitu kwisha, mpaka sasa wanakodisha watu kuyalima hayo mashamba na mengine naona wameshaa yauza. Hii ni Hanang.

  Walisha kuja wa China huko Mbarali, mambo mazuuuuri kabisa. Duhhh, walivyooondoka tu! Kwisha kila kitu.

  Sasa jiulize hao SUA unaosemaa wewe si wapo hapamiaka yote? kimewashinda nini kwenda huko Rufiji?

  Mie nadhani Umoja wa Mataifa walifanya makosa kutupa hii nchi kabla ya wakati wetu. Labda wangetupa sasa, miaka hamsini baadae, au hamsini ijayo ndioingekuwa vizuri zaidi.

  Unafikiri tutajuwa ku-manage hayo mashamba? Tuombe Mungu hao wa Korea wakae muda mrefum kama miaka hamsini hivi au zaidi kidogo, kwani wakiondoka tu. Mashamba na ujuzi watayo tuachia yata-kufilia mbali. Do you know why?
   
Loading...