Wanamziki wa kufoka foka kazeni, 2017 mwaka wenu

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,611
9,812
Kwa wale wadau wa mziki hapa nazungumzia lile kundi la watu ambao wanapenda mziki mzuri haijarishi Ile tarabu, sengeri nk nadhani watakuwa wameona upepo ulivyobadilika tangia mwishoni mwa mwaka Jana baada ya darasa kuachia wimbo wake mziki wimbo huo umekuwa kama njia kwa wasanii wengine wanafanya mziki wa aina hiyo kuachia nyimbo nzuri zenye ujumbe pia mashairi yenye kuburudisha

Ukiwa ni mdau wa muziki fuatilia nyimbo nyingi zinazosumbua katika media kwa sasa ni za wasanii wa kufoka foka pongezi kwao kwani ubunifu waliouleta utafanywa wasikilizwe zaidi mwaka huu 2017

Ubunifu huo ni kuimba mistari miepesi tune nzuri pia nk mfano wa nyimbo

Muziki
Sitaki mazoea
Sinaga swaga
Nk ni kishirio tosha kuwa huwa mwaka ni wao wasanii wa kufoka foka kazi kwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom