Wanamuziki wa Congo(DRC) na vituko na mikasa yao. Akina Defao, Madilu,Franco Luambo

Naona unazidi tu kunionyesha na kunidhihirishia ' Upumbavu ' wako uliokutukuka. Kichwa cha GENTAMYCINE kimejaa ' madini ' mengi na ya kila aina ( popote kule utakapoamua kunitupa Mwanamume nipo vizuri tu ) ndiyo maana unaona najiamini halafu nina jeuri vile vile. Bado una safari ndefu mno ya kufikia tu hata robo ya kile ambacho nimetunukiwa nacho na Mwenyezi Mungu kama ' Shani / Talanta ' yangu ya Kipekee hapa duniani.
Haha hahaha ...nilikuwa na peruzi Kimya Kimya lakini imenibidi ni comment tu MAmaeeee....daahh nimecheka sana
 
ha ha ha.... hyo kuna mdau mmoja humu ndo inaweza mfaa...
mzee baba GuDume

Kwa mamlaka niliyokabidhiwa nakutunuku shahada ya uzamivu katika Sanaa na mambo ya kishirikina yani PHD in ARTS AND MAGIC/WITCHCRAFTS RELATED ISSUES
 
Kuna jamaa alikuwa kwa wenge ya werrason alikuwa na sauti ya kibabe balaa anaitwa adjan sesele hii mashine ilikuwa noma sana
 
Wanasema alikuwa akipewa mistari kuzimu,waenda kuzimu shuhuda zao hizi ngoma za kidunia zinapigwa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
mmh! mkuu unaweza tutaftia japo mmoja kati ya hao waenda kuzimu... maana atatuelewesha mengi naona... ..na huyo pepe kama ni kweli basi hakuwa yeye tena .... ulibaki mfano wa yeye tu!
 
mmh! mkuu unaweza tutaftia japo mmoja kati ya hao waenda kuzimu... maana atatuelewesha mengi naona... ..na huyo pepe kama ni kweli basi hakuwa yeye tena .... ulibaki mfano wa yeye tu!
Mambo ya rohoni ya ulimwengu wa Giza hayachunguziki kwa ulimwengu wa macho ya kawaida zaidi ya jicho ya tatu
 
Back
Top Bottom