Wanamuziki Joh Makini na Darasa mlitufurahisha wengi 2016, mliofurahi wekeni neno kwao hapa

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
1. Joh Makini ft. Chidinma - Perfect combo
2. Darasa ft. Ben Pol - Muziki

Kwa mwaka 2016 kwangu hawa jamaa ndio waliofanya vizuri. Salute jamani, salute tena na tena.
 
watu wengine wanafki sana

huu mwaka diamond kafanya makubwa sanaaa sanaaa
 
Darasa sasa kapata mtihani wa maisha yake

anatakiwa aweze ku maintain hiyo level

atoe nyimbo quality hiyo hiyo ttena na tena

kazi kwake
Mkuu nilibaatika kupita kariakoo na Arusha madukani kila duka Darasa, aisee unapigwa adi utatoa machozi
Jamaa ni mzuri kitambo so nadhani anakuwa
 
watu wengine wanafki sana

huu mwaka diamond kafanya makubwa sanaaa sanaaa
Mkuu darasa kaua mwenzio daimondi anakwambia ujanja mwingi
Sasa Darasa ni mziki siyo ujanja ujanja
Any way wimbo gani wa Daimondi unaushindanisha na huu mpya wa Darasa?
 
Mkuu darasa kaua mwenzio daimondi anakwambia ujanja mwingi
Sasa Darasa ni mziki siyo ujanja ujanja
Any way wimbo gani wa Daimondi unaushindanisha na huu mpya wa Darasa?
chagua wowote halafu pima kimafanikio ya huo wimbo
 
juma necha alikuwa zaidi ya Darasa.....suala ni kumaintain usupastaa
 
Darasa sasa kapata mtihani wa maisha yake

anatakiwa aweze ku maintain hiyo level

atoe nyimbo quality hiyo hiyo ttena na tena

kazi kwake
Na hii ndo kazin ngumu kuliko zote kwa maisha ya msani...kwa gharama yeyote ile lazima ajitahidi nyimbo itakayofatia hii iwe kali zaidi kuliko MUZIKI.
 
Back
Top Bottom