samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
Wadau naamini kuna watu wenye uelewa na na michezo ya mazingaombwe au viini macho, naomba kujua hatua gani na taratibu zinatakiwa kufuatwa? Na wapi naweza jifunza?, je kunausiano wa mambo ya giza?, kwayeyote alie tayari kunifundisha aniambie nimtafute.