Wanamabadiliko msisahau kifaa chochote cha kuchukua picture na kiwe na charge full

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
NAWAKUMBUSHA TENA: Wanamageuzi wote msisahau kubeba kifaa cha kuchukuliwa picture na kiwe tayari, unatakiwa kupiga picture kila tukio baya linalofanyika.

Piga anayeingiza kura bandia, piga anayeingiza watu kwa visingizio mbalimbali, piga mazungumzo. Piga polisi au mtu anayemshambulia anayepiga picha.

Kwa ujumla popote ulipo ukiona anashambuliwa mtu piga picture na ukiona mwenzio anapiga na wewe piga picture.

Kila mtu akiwa anakichukua picture na unaweza mlinda mwenzio, kwani askari au mwizi wa kura au mvunja amani yoyote aliye katika dola atashindwa tuu kwani katika watu 100 hawatoweza wanyang`anya wote vifaa au kuwazuia wote msiwapige.

Matendo hayo yatashindwa na nguvu ya umma, yatashindwa na uandishi wa umma.Tusitegemee magazeti pekee, muda huo huo habari zisambae iwezekanavyo.

Ili kuweka wazi mambo yote, hii itaweka huru watu na itaondoa utegemezi wa waandishi wanaoandika habari za upande mmoja.

Hii italinda raia wenye kuchukua matukio ya kukumbukwa katika uchaguzi ambao ni kumbukumbuk toka maisha ya mtanzania yeyote.
 
Kwani mpango wa fujo umekamilika??!??
Vyovyote vile chrge kifaa, wapiga kura wa kituo kizima wakipiga picture kila mahali polisi watakuwa na adabu kuliko adabu yenyewe.na uwezekano wa kuwapora woete ni mgumu.
 
beba kiona mbali, beba kila kitu cha kuchukua picture, ndicho kitu chenye nguvu kuliko silaha.Sidhauri kubeba silaha..Chadema walitumia picture na uwazi tuu kuzuia maguvu na uonevu wa CCM ktk kulazimbisha tukio la mauaji ya soweto kuwa hatia kwa CDM.
 
Kwani mpango wa fujo umekamilika??!??

Hivi kwanini mkikosa kitu huwa mnachukia kiasi hiki? CDM mliyokuwa mkihangaika mpate uongozi wa juu leo mnaona wapanga fujo? Haha huwa nawaweka ktk kundi la nyani wewe na wapuuzi wenzio jamii ya akina mwanakijiji na drmihogo!!!

Hakuna fujo iliyoandaliwa zaidi ya aibu kuu mtakayoipata nyani nyie....

ACT itakwenda kupokea laana kuu ya karne!!!
 
Hivi kwanini mkikosa kitu huwa mnachukia kiasi hiki? CDM mliyokuwa mkihangaika mpate uongozi wa juu leo mnaona wapanga fujo? Haha huwa nawaweka ktk kundi la nyani wewe na wapuuzi wenzio jamii ya akina mwanakijiji na drmihogo!!! Hakuna fujo iliyoandaliwa zaidi ya aibu kuu mtakayoipata nyani nyie.... ACT itakwenda kupokea laana kuu ya karne!!!
Yaani watz wakiwa na camera za kutosha kupiga anayepigwa kwa kupiga picture, na memeory cards za kutosha polisi lazima wakome.Kwani wengi hawatarudi tena uswazi kwani raia nao watawatoa na baadae watasimamishwa mahakamani.
 
Kabisa mkuu hiyo ndiyo dawa pekee... shetani hawezi kufanya uovu mbele ya nuru...
 
Vyovyote vile chrge kifaa, wapiga kura wa kituo kizima wakipiga picture kila mahali polisi watakuwa na adabu kuliko adabu yenyewe.na uwezekano wa kuwapora woete ni mgumu.
Yaweza kuwa, ila kumpiga mtu picha bila ridhaa yake yaweza kuwa provocation pia. . . .
 
Hivi kwanini mkikosa kitu huwa mnachukia kiasi hiki? CDM mliyokuwa mkihangaika mpate uongozi wa juu leo mnaona wapanga fujo? Haha huwa nawaweka ktk kundi la nyani wewe na wapuuzi wenzio jamii ya akina mwanakijiji na drmihogo!!!
Hakuna fujo iliyoandaliwa zaidi ya aibu kuu mtakayoipata nyani nyie....
ACT itakwenda kupokea laana kuu ya karne!!!

Huwa nakuona mwehu kabisa. . . .Unawezaje kujiaminisha kuwa unamfahamu mtu kiasi hiki??!!!
We mgonjwa wa akili asee sio bure
 
Huwa nakuona mwehu kabisa. . . .Unawezaje kujiaminisha kuwa unamfahamu mtu kiasi hiki??!!!
We mgonjwa wa akili asee sio bure

Nani kasema anakufahamu? au ndo akili za mbuni kujificha kichwa mchangani huku makalio yote nje?

Nawashangaa mlikuwa mkigombea vyeo CDM then yule kima alivyohama nanyi mkahama!! mliowaita too local ndio hao mnashinda mitandaoni kuwafwatilia hadi mnamsahau mama Mghwira!!!

Jinsi mlivyo na laana mnashangilia kaburi lenu wenyewe!!! umesikia ya Shibuda huko Maswa? CCM aliyojipa ukuwadi kwayo mbona haimwokoi?

Naona mmekacha ACT now mpo na Magufuli then baadae mrudi kwa Zitto? haha mataahira sana nyie.
 
Kwani mpango wa fujo umekamilika??!??

wewe unafkiria badoo? umeona uchaguzi wa nchi gani nyengine kununuwa vifaa na magari ya kufanyia fujo wakati wa uchaguzi! au kuweka wanajeshi kila sehem kamatuko vitani wakati kura ni karatasi tu kama c kutaka kuleta fujo hio ni nini mbona nchi nyengine hatuoni haya!
 
Kabisa mkuu hiyo ndiyo dawa pekee... shetani hawezi kufanya uovu mbele ya nuru...
Uwazi ni dawa ya wajamaa na mifumo mingi sana ya kigaidi inayoishi kwa propaganda na ukandamizaji....km uliwahi nifuatilia utakumbuka niliwahi waambia watu huku kwamba Wapalestina walihusika ktk ushirika na Hitler kuwaua wayahudi wakati wapuuzi walikuwa wakitaka dai kwamba Hitler hakuwa dini yao.Tangu jana kuna habari wapuuzi wakimparamia waziri mkuu wa Israel alipoweka wazi.Ila nae akazidi tarativu kuanika wazi.
 
Back
Top Bottom