Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
NAWAKUMBUSHA TENA: Wanamageuzi wote msisahau kubeba kifaa cha kuchukuliwa picture na kiwe tayari, unatakiwa kupiga picture kila tukio baya linalofanyika.
Piga anayeingiza kura bandia, piga anayeingiza watu kwa visingizio mbalimbali, piga mazungumzo. Piga polisi au mtu anayemshambulia anayepiga picha.
Kwa ujumla popote ulipo ukiona anashambuliwa mtu piga picture na ukiona mwenzio anapiga na wewe piga picture.
Kila mtu akiwa anakichukua picture na unaweza mlinda mwenzio, kwani askari au mwizi wa kura au mvunja amani yoyote aliye katika dola atashindwa tuu kwani katika watu 100 hawatoweza wanyang`anya wote vifaa au kuwazuia wote msiwapige.
Matendo hayo yatashindwa na nguvu ya umma, yatashindwa na uandishi wa umma.Tusitegemee magazeti pekee, muda huo huo habari zisambae iwezekanavyo.
Ili kuweka wazi mambo yote, hii itaweka huru watu na itaondoa utegemezi wa waandishi wanaoandika habari za upande mmoja.
Hii italinda raia wenye kuchukua matukio ya kukumbukwa katika uchaguzi ambao ni kumbukumbuk toka maisha ya mtanzania yeyote.