Wanalao jambo na hii rasimu nani hao?

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Ndugu zangu kila nikikaa hivi nawaza hawajamaa wanataka nini? Mara wakatae mchakato, mara waseme ni wao waasisi wa mchakato, mara waseme hakuna umuhimu wa ktba mpya mara wakubali kwa shingo upande,mara wakate draft ya rasimu asilimia zote! mara waseme wataipinga mara wachakachue mabaraza ya katiba, mara waige mavazi ya makamanda,mara wajifanye wao ndio wenye nchi, mara waseme watadumu milele...mh..mh...mh!!! ''' WANALAO JAMBO!!!''
 
Back
Top Bottom