Wanakwaya wa kike muwe na adabu na nguo mnazopanda nazo madhabahuni kuimba mweh

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
18e290ca70e31a5c302f82049bf7f8b3.jpg
 
Na nyie mmezidi .
Dada wa watu kapendeza.
Hayuko uchi, matiti wala sehemu za juu za mwili hazionekani. Mapaja hayaonekani ni miguu tu na mikono inayoonekana.

Acha kufikiria na kichwa Cha chini masaa yote.
Utajiingiza kwenye matatizo ndugu.
hapo sio kanisani lakini pia hiyo sio nguo ya kuendea kanisani, akikaa hapo sijui itafika wapi au ndo atafunika kwa mtandio
 
Una uhakika gani hapo ni Mazabauni na siyo tu kwenye jukwaa lililopambwa kwa ajili ya shughuli maalum? Maana sijaona chochote kinachodhihirisha hapo ni Mazabauni.
kweli kabsa, maana hakuna kiashilia km hapo n madhabauni au la! na mdada mwenyew unamuona mpk ana kikukuu mguu wa kulia...
 
Back
Top Bottom