Wanakuja kwenye kampeni za CHADEMA kwa nauli zao wenyewe, hawaletwi na malori. Tuongeze nguvu vijijini. Tuutumie ule wimbo wetu wa CHADEMA

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Wananchi wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA wanakuja wenyewe kwa nauli zao na utashi wao, hakuna anayewalazimisha wala kuwalipia nauli, ni kwa mapenzi yao kwa chama.
118770747_195508058665505_3532285798212173041_n.jpg

118796106_195508008665510_8244819292481234678_n.jpg

Uzinduzi wa kampeni Dodoma

Sisi tunaona na tunafahamu kuwa wananchi wanasombwa na malori ili wajaze mikutano ya CCM, hiyo HAINISTUI.

Namuomba mgombea uraisi wa CHADEMA ahamishie nguvu kubwa vijijini, wananchi wa mjini wanamuelewa sana. Anaposafiri, ahakikishe taarifa zinatolewa huko njiani ili asimame awasalimie wananchi katika centre anapopita.

Ule wimbo wa CHADEMA CHADEMA, PEOPLES POWER utumike huku vijijini, wananchi wanapenda amsha amsha. Pia tutakuwa tunamuenzi mtunzi
 
Inabidi Mbowe atumie akili, kwani mwakani hatakuwa na posho kama alizokuwa akizipata miaka hii mitano, ni Bora angestisha Kampeni ili angalau asevu pesa, maana ni aibu katika mikutano Yao!
 
Wanachama wa CCM wakijikusanya kwa pamoja wakakodi magari ya kuwapeleka kwenye mikutano inakuwa zengwe.
Na hata kama wanakodiwa ni sahihi pia ili kama kuna asie na nauli awezekwenda.kwa CCM isiwe ajabu hata CUF miaka ya nyuma walikuwa wakikodi mafuso kwenda kwenye mikutano.
Ili chama kiweze kufanya kampeni vizuri ni lazima kitumie fedha kwa kadiri itakavyowezekana.
 
Hapa ni njiani simiyu , usiniambie wesombwa na malori ! Kiufupi acheni kujitia moyo na kujifariji sana! Msipimane ubavu na bado hamtoshi kwa CCM!. View attachment 1559096
usinikumbushe machungu ndugu yangu.

mwaka jana nilipita hiyo barabara nikaishia ku miss flight yangu kutokea Mwanza to Dar kutokana na huu ujinga wa MATAGA kulazimisha nyomi barabarani kiongozi wao anapopita. siku hiyo walisimamisha magari yote (madogo kwa makubwa) na kuyaamuru yapaki huko mbali na barabara. halafu abiria wote tukaamriwa tushuke kwenye magari tukusanyike barabarani kumsubiri jamaa. ilikuwa ni kero sijawahi pitia barabarani maishani mwangu.

so sitashangaa nikisikia hiki unachokiita nyomi kumbe ni mateka tu kama tulivyotekwa sisi mwaka jana maeneo hayo hayo!
 
Wananchi wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA wanakuja wenyewe kwa nauli zao na utashi wao, hakuna anayewalazimisha wala kuwalipia nauli, ni kwa mapenzi yao kwa chama.
View attachment 1558969
View attachment 1558970
Uzinduzi wa kampeni Dodoma

Sisi tunaona na tunafahamu kuwa wananchi wanasombwa na malori ili wajaze mikutano ya CCM, hiyo HAINISTUI.

Namuomba mgombea uraisi wa CHADEMA ahamishie nguvu kubwa vijijini, wananchi wa mjini wanamuelewa sana. Anaposafiri, ahakikishe taarifa zinatolewa huko njiani ili asimame awasalimie wananchi katika centre anapopita.

Ule wimbo wa CHADEMA CHADEMA, PEOPLES POWER utumike huku vijijini, wananchi wanapenda amsha amsha. Pia tutakuwa tunamuenzi mtunzi
CDM chama cha umma kinapendwa sana tukilinde kwa maslahi ya taifa letu.
 
usinikumbushe machungu ndugu yangu.

mwaka jana nilipita hiyo barabara nikaishia ku miss flight yangu kutokea Mwanza to Dar kutokana na huu ujinga wa MATAGA kulazimisha nyomi barabarani kiongozi wao anapopita. siku hiyo walisimamisha magari yote (madogo kwa makubwa) na kuyaamuru yapaki huko mbali na barabara. halafu abiria wote tukaamriwa tushuke kwenye magari tukusanyike barabarani kumsubiri jamaa. ilikuwa ni kero sijawahi pitia barabarani maishani mwangu.

so sitashangaa nikisikia hiki unachokiita nyomi kumbe ni mateka tu kama tulivyotekwa sisi mwaka jana maeneo hayo hayo!
Mkuu umenikumbusha kitu, nami mwaka jana tulitekwa njiani kutoka Sumbawanga to Katavi zaidi masaa nane mbaya zaidi watekaji wanawateka wenzao
 
usinikumbushe machungu ndugu yangu.

mwaka jana nilipita hiyo barabara nikaishia ku miss flight yangu kutokea Mwanza to Dar kutokana na huu ujinga wa MATAGA kulazimisha nyomi barabarani kiongozi wao anapopita. siku hiyo walisimamisha magari yote (madogo kwa makubwa) na kuyaamuru yapaki huko mbali na barabara. halafu abiria wote tukaamriwa tushuke kwenye magari tukusanyike barabarani kumsubiri jamaa. ilikuwa ni kero sijawahi pitia barabarani maishani mwangu.

so sitashangaa nikisikia hiki unachokiita nyomi kumbe ni mateka tu kama tulivyotekwa sisi mwaka jana maeneo hayo hayo!
Acha uongo nyumbu wewe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom