Elections 2010 Wanakijiji watakapotoa somo kwa "wamjini".. get ur suit ready and champaigne!

MATOKEO YA KITUO CHANGU CHA UCHAGUZI



KURA ZA URAIS:

CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373

KURA ZA UBUNGE:

CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275

KURA ZA UDIWANI:

CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343

*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI

Nitafurahi kuona at least halmashauri moja iongozwe na CHADEMA pale Dar es Salaam, kutakuwa na ushindani wa Utendaji kazi,
 
ahsante wa matumaini, arusha mjini hali ni nzuri saaaaaaaaaaaaana...

wazee wangu wana furaha mno!
 
Mwanakijiji hiyo presha uliyosema sio utani kuna jamaa tayari wako kwenye vidonge .... .... ... na wale waliostaafu waliojitia kuleta vijimaneno wakae mkao wa kusali maana itabidi wajieleze vilivyo siku ya siku walipa kodi watakapokuwa wanahoji vijimaneno vyao.
 
Napafahamu NICE kama kiganja cha mkono.
Anapojumuisha matokeo ni kwamba kuna vituo kadhaa ndani ya Sinza A pale Nice. Ni opposite na mlimani city the whole area from kwa kakobe to junction ya kuelekea makaburini from nujoma rd halafu zungukia to shekilango rd to kona ya meeda.

Wakulu leo sisi wana JF wachache tulijitolea kusaidiana na IT team ya LRHC katika kuunganisha taarifa na kuandaa ripoti za utekelezaji kutoka kwa waangalizi huru nchi nzima. Kwanza niwapongeze LRHC kwa mpango wao mzima na namna walivyojipanga na kuwaandaa mawakala wao huko mikoani. Ilikuwa simple kuwasiliana na hata wapiga kura ambao walikuwa wanashida za hapa na pale. Amini nakwambia taarifa hizi zilisaidia sana kupunguza hali ya tension sehemu nyingi maana dalili hazikuwa njema hata kidogo.
Kuna madudu mengi sana yamejiri. Ukitaka kuthibitisha just tembelea UCHAGUZI link ili usome taarifa zilizothibitishwa na kufanyiwa kazi, hizo ni robo tu kwani work load ilikuwa kubwa ndo maana hata mchana ile site ilikuwa down kwa muda hawakutegemea massive responds.
 
Back
Top Bottom