Wanakijiji Nigeria waishangilia Stars

Tuliomuona Emanuel Amunike Enzo hizo kombe la afrika Tunisia na Kombe la Dunia marekani Jamaa alikuwa sio mchezo ni hatari kweli aliwazamisha zambia fainali kwa magoli yake na akafunga goli siku wanakutana na Argentina ya maradona kombe la Dunia USA.
Waliomleta Amunike ni Jamal Malinzi au Wallace Karia?
 
katika watu waliochangia ujio Emmanuel Amunike ni pamoja na JEMEDARI SAIDI... hii ilikuwa wakati ule Taifa Stars Inaenda Egypt... Viongozi wa TFF waliombatana na timu akiwemo Jemedari ndio walifanya maamuzi na ushawishi, kipindi hicho Amunike yupo Egypt akifundisha soka! Mazungumzo yalianzia pale!
 
Back
Top Bottom