Wanakijiji butiama kuzuia uwaswhaji wa mwenge!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Wanakijiji wa butiama wametishia kuzuia uwashwaji wa mwenge kwani ahadi waliyopewa na JK butiama kuwa makao makuu ya wilaya imeyeyuka baada ya kijiji cha kibyakari kuwa makao makuu ya wilaya mpya ya butiama!my note hivi wanabutiama hawajui kuwa hii ni serikali ya kisanii?
 
source please!
 
Back
Top Bottom