Wanakijiji butiama kuzuia uwaswhaji wa mwenge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanakijiji butiama kuzuia uwaswhaji wa mwenge!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Sep 12, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Wanakijiji wa butiama wametishia kuzuia uwashwaji wa mwenge kwani ahadi waliyopewa na JK butiama kuwa makao makuu ya wilaya imeyeyuka baada ya kijiji cha kibyakari kuwa makao makuu ya wilaya mpya ya butiama!my note hivi wanabutiama hawajui kuwa hii ni serikali ya kisanii?
   
 2. t

  takeurabu JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  source please!
   
Loading...