Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 752
- 3,096
Habari wanajukwaa,
Tokea tupate Uhuru, mkoa wa Kagera haujawahi kuwa na chuo kikuu cha umma chenye hadhi. Chuo kilichopo ni Huria(OUT) ambacho kimuonekano hakina hadhi ya kuwa mkoa wa wasomi, soma -> HAYA: The most intelligent people in Africa (Eastward)
Nimeona picha za majengo ya shule ya Sekondari Ihungo yaliyokarabatiwa kutokana na tetemeko la ardhi. Yale majengo yanashawishi na kuvutia kuwa ya hadhi ya chuo kikuu. Serikali mnashindwa nini kubadili matumizi nasi wanakagera tukapata chuo kikuu cha Umma?
Kuna chuo binafsi tawi la SAUT, kile hakiwezi kutosheleza mkoa wetu, kwanza majengo yake hayana hadhi hata robo ya haya ya Ihungo SS.
Tuifanye Ihungo iwe kitovu cha elimu Kagera.
Napendekeza chuo kiitwe Chuo Kikuu cha Sayansi Kagera (Kagera University of Science-KUS)
Karibuni kwa mchango.

Picha za majengo baada ya ukarabati kwa 80%