Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,792
Wanakagera ebu tuzungumzie kidogo kuhusu hifadhi ya Taifa BULIGI ambayo kwa uelewa wangu ninajua kuwa ipo wilaya ya biharamulo mkoani kagera. Lakini kwa Sasa imehamishiwa mkoa wa GEITA wilaya ya chato na imepewa jina la hifadhi ya BULIGI-CHATO ivi kweli wahaya wenzangu na wanamkoa kagera hamuoni ili kama Ni tatizo ambalo linaurudisha nyuma mkoa wa kagera na wilaya nzima ya biharamulo? Ivi viongozi wetu ikiwa Ni wabunge pamoja na madiwani ili hawajaliona? Au mkoa wa kagera hatuna wawakilishi wa kutetea maliasili za mkoa wetu? Ni ilo tu kwa wanaoufahamu mkoa wa kagera vizuri naombeni mzungumzie kidogo kuhusu ili.