Wanajihad wa Kiislam wamkata kichwa raia wa Ujerumani

Status
Not open for further replies.

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
_94862090_abusayyaff.gif

Wapiganaji wa Kiislamu nchini Ufilipino wamechapisha kanda ya video inayoonyesha mateka mmoja wa Ujerumani akikatwa kichwa.

Jurgen Kanther alitekwa nyara katika jahazi lake pwani ya Malaysia jimbo la Sabah mnamo mwez Novemba.

Mwili wa mtu aliyekuwa naye baadaye ulipatikana katika mashua hiyo.

Siku ya mwisho ya kulipa fidia ya dola 483,000 ilikamilika siku ya Jumapili.

Bw Kantner mwenye umri wa miaka 70 na bi Merz walikuwa wamewahi kutekwa nyara awali.

Walizuiliwa kwa siku 52 mwaka 2008 na maharamia wa Kisomali na waliachiliwa huru baada ya kikombozi kutolewa.

Video hiyo ilioripotiwa na wapiganaji wa SITE inamuonyesha bwana Kantner akikatwa shingo na mtu aliyeshika kisu.

Mjumbe wa serikali Jesus Dureza alithibitisha mauaji hayo.

Hadi wakati wa mwisho sekta tofauti ikiwemo jeshi zilishindwa kuokoa maisha yake.

''Sote tulijaribu uwezo wetu lakini hatukufanikiwa'',alisema.

Abu Sayyaf ni kundi dogo na lenye ghasia kubwa kusini mwa Ufilipino, likijulikana kwa unyama wake ikiwemo kukata watu vichwa.

Kundi hio linatii wapiganaji wa Islamic State na limefanya utekaji nyara mwingi wa wageni na raia wa Ufilipino.

Wengine wamewachiliwa kwa kutoa kikombozi lakini idadi kubwa bado inaendelea kuzuiliwa.

Chanzo: BBC
 
Kwanini ugaidi vinashahabiana na kundi fulani la watu wenye dini ya kiislamu???

Na sii hizi zingine??

Kuna shida kwenye vitabu vyao nafikiri! Maana vinawatia hamsha hamsha kwamba ukimuua mtu kwa kutetea uislamu basi ahera ni yako.
 
kwani lile dhehebu la kikristo...lililoruhusu USHOGA ...na USAGAJI.. kuna kitabu chochote cha kikristo kina mafundisho hayo na kuruhusu mapenzi ya jinsia moja...??????.....
 
View attachment 475178

Wapiganaji wa Kiislamu nchini Ufilipino wamechapisha kanda ya video inayoonyesha mateka mmoja wa Ujerumani akikatwa kichwa.

Jurgen Kanther alitekwa nyara katika jahazi lake pwani ya Malaysia jimbo la Sabah mnamo mwez Novemba.

Mwili wa mtu aliyekuwa naye baadaye ulipatikana katika mashua hiyo.

Siku ya mwisho ya kulipa fidia ya dola 483,000 ilikamilika siku ya Jumapili.

Bw Kantner mwenye umri wa miaka 70 na bi Merz walikuwa wamewahi kutekwa nyara awali.

Walizuiliwa kwa siku 52 mwaka 2008 na maharamia wa Kisomali na waliachiliwa huru baada ya kikombozi kutolewa.

Video hiyo ilioripotiwa na wapiganaji wa SITE inamuonyesha bwana Kantner akikatwa shingo na mtu aliyeshika kisu.

Mjumbe wa serikali Jesus Dureza alithibitisha mauaji hayo.

Hadi wakati wa mwisho sekta tofauti ikiwemo jeshi zilishindwa kuokoa maisha yake.

''Sote tulijaribu uwezo wetu lakini hatukufanikiwa'',alisema.

Abu Sayyaf ni kundi dogo na lenye ghasia kubwa kusini mwa Ufilipino, likijulikana kwa unyama wake ikiwemo kukata watu vichwa.

Kundi hio linatii wapiganaji wa Islamic State na limefanya utekaji nyara mwingi wa wageni na raia wa Ufilipino.

Wengine wamewachiliwa kwa kutoa kikombozi lakini idadi kubwa bado inaendelea kuzuiliwa.

Chanzo: BBC
Waleta habaribya mwaka 2008,wewe utakuwa mzima wa akili?Unafurahi watu kuuliwa?
 
Ndio maana Trump hawataki Hawa jamaa. Wakishaanza kusoma kile kitabu Chao wanabadilika kabisa na kupandisha mizuka ya kutaka kumwaga damu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom