wanajf wa arusha....natia mguu kitaa chenu

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,039
61,352
habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale dada poa ila wa ukweli...usiniambia story za pale mrina bar lol!
wadada wa jf pia feel free kunitafuta ila uwe mzuri.
 
Niwapishe wadau wa viwanja hivyo waje mjuzane, nilikuja kasi nikidhani utahitaji maelekezo ya kwenye nyumba za ibada!
 
habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale dada poa ila wa ukweli...usiniambia story za pale mrina bar lol!
wadada wa jf pia feel free kunitafuta ila uwe mzuri.

Arusha ndio jiji la starehe mkuu kuna sehemu za starehe za kila aina...uwezo wako tu mfukoni tusije tukakupeleka club ukaishia kulipa kiingilio tu.
 
ah mie nimekuja kula raha...hasa nataka kugegeda watoto wakimeru bwana....so wee nipe maeneo gani wanapatikana. starehe gharama so nilishajiandaa
 
Karibu A twn mkubwa! Kama uko kiukweli niPM bila shaka kabisa kwani viwanja viko wazi kbs!
Karibu member wetu!
 
habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale dada poa ila wa ukweli...usiniambia story za pale mrina bar lol!
wadada wa jf pia feel free kunitafuta ila uwe mzuri.

hapo umeniuzi......anlesi azawaiz.......kwa w/end hii nitakuwa jimboni........la sivyo ungelia kwa kula bata mwenye mafuta......
 
Kwa mpango beba vitendea kazi vya kutosha usije ukaanza kulalamika epizosta.
 
Hivyo viwanja vya kuchukua dada poa sivifahamu kabisa hapa Arusha! Na wadada wa JF sio wa hivyo. Labda uende Dar mitaa ya Joly club.
 
ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_unavifahamu sana sema unambania mshkaji,......lo!..ntarudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom