WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Mbona hutaki kunifanya nipende kutulia na wewe tu? Unadhani hiyo michepuko naifurahia sana?

Tutauwana ujue magonjwa mengi.
Kama huifurahii mbona huachi? Halalisha wake wawili ujinafasi. Tatizo unapenda mapenzi ya kuibiaibia, au ndo matamu kuliko ya halali?
 
Back
Top Bottom