Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwongozo tafadhali!Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa.
Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya usichafue hewa
Nimekuja mkuu!Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa.
Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya usichafue hewa
Uzi safi sana, ila nashauri uitwe marafiki na mashabiki wa JPM.Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa.
Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya usichafue hewa
Hotuba zake zimejaa comedy haziçhoshiKwa kweli lolote lile
Magu ndio amenipa hamu ya kujua serikali inafanyaga nini haswa.
Napenda hotuba zake, sichoki kumsikiliza
Magufuli oyeeeeeee