Uchaguzi 2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya...

Rais wetu ni Dkt John Pombe Magufuli amatenda mengi mazuri kwenye nchi yetu tunampa mitano mingine ili tuiendeleze tanzania yetu kwenye Amani, Uchumi, maliasili, miundombinu
 
Siwezi kupigia kura spana mkononi feni pembeni ili kupooza injin isilipuke
 
Ndugu atakayenipigia simu kunishawishi nimpigie kura JPM basi ahakikishe anajiweza!Sio awe yule ambaye mwanaye akiumwa ananipigia simu kunipiga mzinga!Shwain!
Inatakiwa bado uwafikirie,kwani sisi site ni ndugu na dunia nimoja, ila yafaa uendelee kuwaelimisha waweze kukuelewa na kufanya like kitakacho wasaidia Watanzania wote, bila kuwabagua kwa itikadi zao au vinginevyo.
 
Labda kama nimerukwa akili, au nimeshikiliwa akili kama wewe, grow up kid unatumika mwisho wa siku unatelekezwa na ujinga wako.
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya...
Mumu unge mkono musimuunge mkono Rais Magufuli ndio Mshindi wetu Mkuu. Na Rais Magufuli ndio atapata ushindi Mkubwa dhidi ya Wapinzani.
 
2015_ Wafanyakazi sintawaangusha

2016 _ 2019 najenga miundombinu,wafanyakazi Ni wachache Sana,kura zao sio muhimu.

2020 _mkinichagua nitaongoza mishahara ya wafanyakazi

Lissu
Nitafidia
Wafanyakazi kipindi chote ambacho hamkuongezwa mishahara
Polisi,JW na wengine wataongezwa mishahara na Kupanda madaraja.
Nitatejesha fao la kujitoa.

Ooooh kura yangu kwa_ Lissu.
Mimi kwetu Mwanzaaa.
 
Matusi yenu Chadema hayatasaidia kitu

Mwambieni msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji
Hakuna msaliti kana asiyejali au kuthamini utu,kwanamna yeyote ile iwe kupitia mamlaka,sheria,au maneno na hata matendo ya mtu,au taasisi zilizo chino yake..
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya...
Mimi Na Familia pamoja na Ukoo wetu wote Tunampigia Kura MAGUFULI yaani wala hakuna Shida Juu ya hilo hapaa Nishashawishi familia kama Tatu zote mwelekeo ni Mmoja. PIA TUSISAHAU KUWAAMBIA KUWA LISSU NA MTU WA MABEBERU KATUMWA KUJA KUUZA NCHI PIA TUWAMBIE ANATAKA KUENEZA USHOGA NCHINI HAFAI KUPIGIWA KURA
 
Msaliti wa Nchi Lissu hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji

Tanzania hatutaki ushoga, pia
Hakuna msaliti kana asiyejali au kuthamini utu,kwanamna yeyote ile iwe kupitia mamlaka,sheria,au maneno na hata matendo ya mtu,au taasisi zilizo chino yake..
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Jiwe amewasaliti watz amewaumiza nguvu ya umma inakwenda leta mabadiliko
 
Back
Top Bottom