WanaJf tujitokeze kumsaidia mwenzetu mwenye ulemavu wa ngozi hapa Kigongo ferry

fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
115
Nmekutana na albino hapa kigongo ferry ndani anaomba omba wasafiri pesa kwa ajili ya matumizi na anabarua kutoka serikali za mitaa ya kumruhusu kuomba.....
1482057252431.jpg


Wahusika mnaweza kutembelea hapa ferry ili muweze kumsaidia maaana anatia huruma saaana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom