WanaJF nisaidieni maoni yenu kidogo hapa

Jibu ni bado HUJAPENDA ile inavotakiwa, wewe bado unatamani tu

so kuwa na subira, Jipe muda wakati utakuja wenyewe
 
Yaani Mimi nikiwa na Msichana kwenye mahusiano, inapofikia kwenye suala la mawasiliano let's say kuchat huwaga Ni mzito Sana yaani hadi manzi aanze kunitafuta mwenyewe na mimi ndiyo na respond asipo nitafuta au asipo Anza kunicheki ninaweza nika mute hata wiki nzima,

Yaani napenda manzi ajipendekeze alalamike lalamike, anilaumu simtafutii, Ndiyo Basi Mimi nafrahi.

Naombeni maoni yenu hivi nakosea au napatia, Je kwenye mahusiano mbali na pesa mwanamke anapenda Nini kwenye suala la mawasiliano (chatting)
Umerogwa na shangazi yako ila tatizo linataturika
 
Unapatia sana, ukioa unijulishe unapoishi....tutaenda sawa mpaka uzibuke akili.
 
Tena mm ata niwe na sms hamsini kwenye cm siwezi tumia ata moja. Ukinipigia kuongea ikizidi Dakota mbili nitakupa excuse ili nikate cm labda iwe cm ya mchongo wa pesa. Kifupi sipendi kuchart ila tukiwa so kwa uso utanikimbia nakupigisha story mpaka hautamani kubanduka.
 
Back
Top Bottom