HB.com
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 607
- 638
Yaani Mimi nikiwa na Msichana kwenye mahusiano, inapofikia kwenye suala la mawasiliano let's say kuchat huwaga Ni mzito Sana yaani hadi manzi aanze kunitafuta mwenyewe na mimi ndiyo na respond asipo nitafuta au asipo Anza kunicheki ninaweza nika mute hata wiki nzima,
Yaani napenda manzi ajipendekeze alalamike lalamike, anilaumu simtafutii, Ndiyo Basi Mimi nafrahi.
Naombeni maoni yenu hivi nakosea au napatia, Je kwenye mahusiano mbali na pesa mwanamke anapenda Nini kwenye suala la mawasiliano (chatting)