WanaJF nisaidieni maoni yenu kidogo hapa

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
607
638
Yaani Mimi nikiwa na Msichana kwenye mahusiano, inapofikia kwenye suala la mawasiliano let's say kuchat huwaga Ni mzito Sana yaani hadi manzi aanze kunitafuta mwenyewe na mimi ndiyo na respond asipo nitafuta au asipo Anza kunicheki ninaweza nika mute hata wiki nzima,

Yaani napenda manzi ajipendekeze alalamike lalamike, anilaumu simtafutii, Ndiyo Basi Mimi nafrahi.

Naombeni maoni yenu hivi nakosea au napatia, Je kwenye mahusiano mbali na pesa mwanamke anapenda Nini kwenye suala la mawasiliano (chatting)
 
Wanaume wa dar
tapatalk_1560419111312.jpeg
tapatalk_1560276590971.jpeg
tapatalk_1555181416417.jpeg
tapatalk_1559320249204.jpeg
 
He he he wanawake wa sasa wanajitambua unadhani atakufuta yeye kila siku..we nani kwanza..mapenzi ni njia mbili kijana
 
Aisee sisi wanawake tunapenda mtu anayejali mfano morning text hivi, attention km zote Aisee unafeli
 
Hiyo kawaida tu mbona?
Mi mwenyewe ni vugum kumuanza babe lakini halalamiki na ndo nishamzoeza hivyo.
Yeye ndo mara nyingi ananianza.
"A woman does behave the way you make her"
 
Yaani Mimi nikiwa na Msichana kwenye mahusiano, inapofikia kwenye suala la mawasiliano let's say kuchat huwaga Ni mzito Sana yaani hadi manzi aanze kunitafuta mwenyewe na mimi ndiyo na respond asipo nitafuta au asipo Anza kunicheki ninaweza nika mute hata wiki nzima,

Yaani napenda manzi ajipendekeze alalamike lalamike, anilaumu simtafutii, Ndiyo Basi Mimi nafrahi.

Naombeni maoni yenu hivi nakosea au napatia, Je kwenye mahusiano mbali na pesa mwanamke anapenda Nini kwenye suala la mawasiliano (chatting)

Wala hukosei kaka yaani mwendo ni huo huo wao ndio wanatakiwa kututafuta sie bwana....wee utafute mwanamke kisa nini.
 
Alafu unakuta mwanamke mwenyewe ni cheusi tiii uanze kupoteza muda wa kumtafuta wa nini?
 
Back
Top Bottom