WanaJF!! Naombeni niulize hili kwa anayejua anipe jb KUHUSU MAMBO YA SIMU! Nina hofu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJF!! Naombeni niulize hili kwa anayejua anipe jb KUHUSU MAMBO YA SIMU! Nina hofu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Aug 4, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nimebishana na rafiki zangu mahala tulipokuwa 2kijinusuru na hili GIZA la Ngeleja. Sasa kuna jamaa aliyeanzisha story ya ndg mmoja aliyebahatika kumkamata jamaa aliyefanya naye biashara na mara akatoweka. Sasa kila akipiwa simu anasema niko nje ya mji na miezi ikakatika na ndiyo yule rafiki aliyeachwa akaamua kumkatia (RB) kwn ishu ilikuwa ni ya pesa nzuri kwn ilikuwa around Tsh 12milioni.

  Ndipo police wakaamua kumfanyia mtuhumiwa kazi na jamaa akasema wakawa ki2 kimoja na jamaa wa mtandao husika na jamaa mwenyewe aliyeganda na shilingi ni Arusha na kila akipigiwa anasema nipo Iringa mara nipo Mtwara,Kigoma ingali yupo hapa A town. SWALI: Nauliza mitandao iliyopo hp kwe2 kuna uwezekano wa kuifuatilia simu inakopigiwa mpk alipo mtumiaji?

  Maana jamaa anasema alishika akisema nipo Iringa ingali yupo hapo Engusero Arusha mjini. NIFUNGUENI KWA HILI WanaJF wenzangu.

  Nawasilisha
   
 2. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Au ni wewe unaetafutwa?hiyo hofu wewe inatoka wapi?
  Ok huko siko ila hiyo kitu ipo na anaweza kukamatwa kama kuku hata abadilishe namba.ikiwa utapata ushirikiano na kikosi maalum
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  inaoneka looserpoolfc ndo anadai huo mpunga...
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kama hadi sasa hujui hilo una matatizo. Kwa taarifa yako hata hayo uliyoyapost kama yana madhara hasi kwenye jamii na wenye mamlaka wakitaka kukukamata haichukui dakika kumi watakuwa washakufahamu jina na namba yako ya simu. Huwa tunatukana humu jf tukidhani kwa kutumia ID ambazo sio majina yetu basi tumesalimika, hiyo haisaidii
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,416
  Likes Received: 19,726
  Trophy Points: 280
  inawezekana offcourse
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kijana wa bwawa la maini lipa tu hela za watu na kama bado hujazikusanya hamia simu za elfu 25 hizi kidogo ngumu kuzifatilia,lakini kama una simu yenye GPRS imekula kwako.
  Nikwambie kisa kimoja,kuna dada alihisi mumewe anatembea na rafiki wa huyo dada na alikuwa kidogo mambo ya teknologia anayafahamu, alichukua simu ya mumewe na kuwasha kitufe cha GPRS na kuongea na skulmeti wake anayefanya kazi kwenye kampuni ya simu wanayotumia.Usiku mumewe alichelewa kurudi sista akampigia simu na kumuuliza uko wapi akadai yupo katikati ya jiji kwenye mkutano,dada wa watu akampigia yule skulmeti na kuthibitisha mumewe yuko Kawe anapoishi yule dada anayemtuhumu kutembea na mumewe.Dada akawasha gari na kwenda kulipaki nje ya nyumba ile,mumewe kutoka tu waifu kaziba geti.
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hii......
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Kwa ufahamu wangu, Inawezekana, huwa wanatumia address ya mnara uliopo karibu na wewe ambao unakupa mawasilino, so, wanaweza kujua maeneo uliyopo but sio nyumba uliyopo.
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Nilikuwa cjui vema! Ila kwa uwelewa niliyopata humu bila shaka nimeelimika zaidi. Thkx!
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Kama una simu yenye GPRS usifungue internet, ukifungua internet utakuwa unaruhusu data!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Lakini nimeshapataga tetesi ya kwamba kuna baadhi ya simu ambayo ukipigiwa inasoma mpk umbali ulipo kati mpigaji na mpigiwa. Ni kweli?
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naomba usiitumie kwa huyu shemeji yangu sis.
   
Loading...