paul nsangu
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 179
- 32
wanajf kwa wema wenu bsara zenu na upendo wenu tafadhari naomba mwenye serial no ya idm yaani intrnent down loaderaniwekee hapa au anitumia kwenye email yangu nsangupaul@gmail.com kwa kweli natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada huo kwani nishindwa kudownload mambo mblimbali yanayo husu habari hapa jamvin nisaidien wadau mwenye hio serial no tafadhari nitumieni tafadhari sana natanguliza shukrani zanguwapendwa