Wanajf/MMU ninawatakia Sikukuu njema

Wanajf/Wana-MMU.. Ninawatakia sikukuu njema ya Krismas na Mwaka mpya.

Tusisahauliane kwa vyuku na vinywaji.

Ninawapenda sana.
Ni PM namba yako ya simu, nikutafute hiyo kesho. Pia uchague, wapi unataka kwenda kuinjoi? Kama upo Dar lakini
 
Kama kwenye avi ni wewe, then me, myself and I tunakupenda pia. Kama sio, basi heri ya sikukuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom