WanaJF! Leo nimekutana na makundi kwa makundi la kabila la Maasai. Mwenye kujua,JUZA!

lakini jando kuelekea mjini...?.....si huwa nasikia wanaenda maeneo ya poripori......au hii imekuwaje?...na wamama ndani...?

Kwa habari nilizonyaka kwa Morani mmoja aliyepiga corner na kupata maji angalau baada ya msafa ya tangu alifjiri ya saa kumi kasoro walianza mwendo wa kwenda mpaka mstuni pembezoni mwa mlima Meru tayari kwa kusema ya kwamba tangu miaka 7 ya tohara ya kimila na RIKA kupumzishwa na ndiyo leo tena RIKA lingine linaanza upya na watatinga ndani ya hekalu lao la jadi wakiimba na kumsifu MUNGU ktk mila ya kwao na wakila nyama takrban siku 4 kuanzia leo pale ndani ya Ofisi za Tanapa ilipo watakaa kwenye ile mbuga iliyoko hapo kwani nasikia wakitoka hapo ni kisu ndiyo inawapitia mpk miaka 7 wanasimamisha tena na ndiyo RIKA jipya lina onekana ktk kuutetea IMANI yao mpk hapo nao wakapokadhi kwa wengine kwa mtindo huu huu wa leo. Na nasikia wengi wamekimbilia ya kwamba wao wamemjua MUNGU na kuasi mila lakini inasikitisha sana kwani hata kama ummetairi kijana wako hospitalini ni lazima arudiwe penda hajapenda ama vp wewe baba yake utapitiwa tena wewe. HAKIKA HILI NIMEPATA NIKASIKITIKA SANA ILA NIKAKUMBUKA USEMI HUU "mkataa kwao ni mtumwa" NA KWA KWELI KAZI IPO KWELI KWELI, Na nikamwuliza wasichana ni wa nini? Nao wanapata tohara? Akaniambia hapana hao wamesindikiza vijana wapate ari na mama zao wamewafuata na chakula kwani masafa yalikuwa mrefu ya masaa 7 kwa miguu tu na hata wengine toka kwingine wametembea kwa siku 2 kuhitimisha hili. HABARI NDIYO HIYO WANAjf!
 
kesho lazima nibebe camera....sijui watakuwepo....?

Kama utadamka mapema na ukapata nafasi ya kupita pale karibu na Tanapa kwa upande wa juu,hakika watakuwa wameweka kambi pale. Hata nami nitafanya kama utani tu na kupita anga zile.
 
Wanahama nchi uoza wa magamba umewachosha, wanatimkia kenya wanasema bora kulala njaa ugenini na sio nyumbani kwako..naskia na wahaya wanajiandaa kutimkia uganda njii hii watabaki wakwere na wanape2 kudadadeki!!
 
Kama utadamka mapema na ukapata nafasi ya kupita pale karibu na Tanapa kwa upande wa juu,hakika watakuwa wameweka kambi pale. Hata nami nitafanya kama utani tu na kupita anga zile.

asante kwa hii yuziful infomesheni.....nitampitia Blaki woman tukapige picha.....
Blaki umesikia eehh....
 
ha ha.....hawa jamaa nilivyowaona....nadhani ni wale wanaoamini Nyerinyeri bado ndio rais......

We Boya unafikiri wamasai wa sasaivi ni wale wa enzi zile?...Mila zitadumishwa kama wafanyavyo wachaga na makabila mengine lakini uelewa ni mkubwa sana sasa hivi. Na kwakua upo Ars, basi wewe ni shahidi, Nani wenye magari ya kifahari, nyumba nk na wakati huo huo wanaendelea kuvaa nguo zao za asili ndani ya lexus, Amazon nk. Acha madharau Pimbi wewe!!!!!
 
vp preta,nilikuwa nakuwashia full lite pale Arusha Coffee Lodge lkn hukuniona,mbona cku hizi simwoni yule rafiki yako?

asante kwa hii yuziful infomesheni.....nitampitia Blaki woman tukapige picha.....
Blaki umesikia eehh....
 
We Boya unafikiri wamasai wa sasaivi ni wale wa enzi zile?...Mila zitadumishwa kama wafanyavyo wachaga na makabila mengine lakini uelewa ni mkubwa sana sasa hivi. Na kwakua upo Ars, basi wewe ni shahidi, Nani wenye magari ya kifahari, nyumba nk na wakati huo huo wanaendelea kuvaa nguo zao za asili ndani ya lexus, Amazon nk. Acha madharau Pimbi wewe!!!!!

ni vizuri....great thinker....lakini siku nyingine jaribu kuelewa lugha za JF.......
 
Itakuwa mambo ya jando
Akina mama naona itakuwa kwa ajili ya kuwacheka watakaolia bse inabidi ukomae as ni kitu bila ganzi
 
Preta mdogo wangu watakuwa wanakusubiri kweli sidhani......umenifurahisha sana na 'Nyerinyeri' mbavu sina!!!

kama ulikuwepo my dear....nimepita hapo leo nimetoa mimacho kama fundi saa.....kwani nimewaona sasa....duh....labda wakati wa kurudi watarudia njia hiyo hiyo....nangojea......
 
asante kwa hii yuziful infomesheni.....nitampitia Blaki woman tukapige picha.....
Blaki umesikia eehh....

yaani jana sijakaribia maeneo haya kabisa...................tutawavizia wakirudi kwenye tohara...........nafanya kaupelelezi kadogo kujua watapita lini au sijui tuwazukie kule tupati nyama choma au ndio watatutoa baru
 
kama ulikuwepo my dear....nimepita hapo leo nimetoa mimacho kama fundi saa.....kwani nimewaona sasa....duh....labda wakati wa kurudi watarudia njia hiyo hiyo....nangojea......
Ungeniambia ningewaambia wakusubiri kijiweni kwangu_walileta viatu(masendeu)niwashonee,jana sikumaliza hivyo leo asubuhi waliwahi kuja kuchukua,...anyway ni mambo ya ninge lakn...pole sana
 
yaani jana sijakaribia maeneo haya kabisa...................tutawavizia wakirudi kwenye tohara...........nafanya kaupelelezi kadogo kujua watapita lini au sijui tuwazukie kule tupati nyama choma au ndio watatutoa baru
lazima mtolewe baru,...maake watakuwa morani sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom