WanaJF! KWANI VYOMBO VYA HABARI ZINAKUWA HIVI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJF! KWANI VYOMBO VYA HABARI ZINAKUWA HIVI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 4, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Baada ya Marekani kutangaza kwamba majasusi wao wamemaliza kazi yao walio2mwa na Rais wao Obama kwa kumwondoa kwenye uso wa sayari hii yenye kila aina ya raha na mateso,Hakika haijapita hata masaa manne baada ya kutokea vyombo vya hbr wengine wakisema alikufa tangu majuzi wengine wakisema siyo yeye wengine wakisema hawezi kuuwawa kirahisi namna hiyo na wengine wakipinga kwa jinsi mlivyowasikia WanaJF na mimi ki2 kinachoniboa ni kwanini wakatae ingali alikuwa akiwindwa namna ile? Ama wamesahau aliyoyatenda huyo Dicteta asiye na huruma hata kidogo?? Ameshapoteza maisha ya ndg wengi sana mashariki hadi kusini,Halafu leo kuuwawa kwake vipingamizi inakuwa kibao. Je? Ni kwanini lakini? Kwangu mi imeniboa sana wa2 wakubali tu kufa kwa Osama Bin Laden m2 mwenye roho kama ya Farao.
   
Loading...