Wanajf karibuni katika uzinduzi

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,455
Wanwa jf wenzangu napenda kuwakaribisha nyote katika functiion ya uzinduzi wa album ya kwaya yetu ambayo itafanyika tarehe 25/11/2012 pale kanisa la Kijitonyama TAG ni sayansi unaelekea kwa njia ya pembeni utaliona kanisa lipo barabarani kabisa au unaweza kuuliza majirani wewe shukia upande wakushoto kama unatoka kariakoo au kama unatoka mwenge shuka na vuka upande wa jengo la teknologia na sayansi fuatisha iyo barabara au uliza madreva teski ukishindwa basi nitonye hapa kwa hii no. 0784 960517 nitakuelekeza namna ya kufika siku hiyo ya uzinduzi.
Ningelipenda wanajf wote mfike kwani kuna mambo mazuri sana na wenyewe mtajionea sisemi sana

karibuni nyote
 
Asante kwa mwaliko, tuombee mungu atutie nguvu ili tuweze kuiona siku hiyo na kujumuika nanyi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom