WanaJF! Huyu Ndg kafikishwaga wapi? Yupo kweli ulimwengu huu wa ADAMU NA EVA???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJF! Huyu Ndg kafikishwaga wapi? Yupo kweli ulimwengu huu wa ADAMU NA EVA????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Apr 29, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  JUSTIN KASUSURA,aliyekuwa akiandikwa sn na vyanzo vya habari. Lkn takrban miaka miwili cjawahi kumsikia hata yale madola ($) ya wizi cjajuaga imemfikisha wapi. Awmayeju.
   
 2. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  alihukumiwa kifungo cha miaka 35 kwa kosa lile
   
 3. vena

  vena JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie hata simfahamu huyo kasusura, ebu nipe lecture ndo nan tena huyo?
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  alipo hukumiwa aliangusha bonge la kicheko mahakamani. Hakika aliacha gumzo
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Inawezekana bado yupo jela au wamemmtoa wakamwambia afunge mdomo baada ya kuwagawia na wao $
   
 6. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Yupo jela, alishakuwa amefulia ndio akajilengesha kwa police
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Alikuwa mjanja **** kwani alikuwa mlinzi ktk kampuni moja na ndiyo akakwanjua hiyo regan yapata BILIONI 350 kw cash ya TZ.
   
 8. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2015
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,658
  Likes Received: 2,524
  Trophy Points: 280

  Hebu nipe background ilikuaje
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2015
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  Inawezekana

  Maana madolari yote yale afungwe kirahisi rahisi hivi
   
 10. m

  mwasu JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2015
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8,259
  Likes Received: 6,138
  Trophy Points: 280
  Mke wake akafariki jamaa akiwa magereza, eti akaomba ruhusa akazike askari magereza wakamwambia hakuna hiyo ukitoka utaenda oneshwa kaburi.
   
Loading...