WanaJF, Hili la usafirishaji wa wanyama PORI limefunikwa na mafiSADI hivi hivi?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Ndg zanguni!! Samahanini sana kama ntarudi nyuma kukumbusha yaliyotokea na si mbaya kwa mwenye kujua kinachoendelea na akatukumbusha wengine humu ndani wenye kutaka kujua yanayoendelea kuhusu ule mkasa wa USAFIRISHAJI WA WANYAMA PORI kwenda nchi za nje,kulikuwa na tetesi yule mshtakiwa nambari moja alitorokea kwao pakstan na nikasikiaga tena ameletwaga,mpk hapo sikupata tena kusikia kesi hii! Mwenye kujua atujuze wengine wajamen! Asanteni na samahani kwa usumbufu wowote ule!! Nawasilisha!! Hata Rejao,ritz,thatha,mzee,,,,,na ile kikosi chake nasema KARIBUNI SANA TUJENGE NCHI YETU!
 
Jama! Hakuna hata anayejua hili humu jamvini?? Hata angalau kwa namna moja au nyingine,mwenye kujua atujuze jama.
 
Hamna cha maana hapa!
Usipende kuwork on rumours

Kama haujui si upige kimya! Ama kwa kuwa nilikukaribisha ndiyo shida we gamba nyoka. Unajua we Rejao nimeshakutahadharisha ya kwmb tumia kichwa kwa kufikiri. Mambo ya mafisadi achana nayo mjinga we! Jenga Taifa lako ingali U na nguvu mswaki njiti wewe!!
 
Tutajenga taifa letu kwa kuandamana?
Tutajenga taifa letu kwa kulalama kila siku na kuona tunaonewa?
Tutajenga taifa letu kwa kutoa lugha chafu?
Huwa nakuheshimu sana, but kwa matusi yako unanifnya nikutoe maanani kabisa. Jifunza kutumia lugha safi uwapo hapa jukwaani
 
Mi si mtumwa na Taifa kama ulivyo na ile kikosi chako tajwa hapo juu Mi naipenda Taifa langu na nina wazalendo wa nchi lakini si kama ulivyo Rejao na wenzio lakini mtakuja gutuka baada ya! Kuwa Mzalendo na Taifa lako mtumwa we!! Hebu nyooka ktk sentinsi yako kama utakutana na silabi hizi.
 
ni marufuku kuliongelea swala la wanyama pori. Aliyewauza anajulikana kwa jina la baba mwenye nyumba, tena yeye ndiye mwenyekiti
 
ni marufuku kuliongelea swala la wanyama pori. Aliyewauza anajulikana kwa jina la baba mwenye nyumba, tena yeye ndiye mwenyekiti

Mkubwa! Ndivyo ilivyokuwa kwl? Ama umehisi ndivyo. Duhh! Hili ni janga.
 
Kuna tetesi ya kwamba ile kesi imetupiliwa mbali na mahakama kuu pale Kilimanjaro. Mwenye kujua nijuze.
 
Back
Top Bottom