WanaJF! Hebu 2angalie kwa pamoja fikra ya huyu Mwananchi hali ya Arusha mjini na G. L | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJF! Hebu 2angalie kwa pamoja fikra ya huyu Mwananchi hali ya Arusha mjini na G. L

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 16, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa ninapita hapa mjini majira yapata saa tisa oo nusu,nikatia nanga mahala palipokuwepo projo nyingi ya siasa,m2 mmoja aliyekuwa anasikilizwa kwa makini akawa na hili ktk projo yake,(Namnukuu) Hv nyie mnamwona kama Mh. Godbells Lema anaenenda vema ktk mazingiza haya? Tangu 2mempa kura mara ngapi amekaa kwenye mji wake na kuwa pamoja na raia wake? Nyie subirini mwone CCM kama haijachukua hili jimbo,mwoneni sasa hv yupo huko Songea,Mbeya,Iringa anatalii tu,MWISHO WA KUNUKUU. Jamaa mmoja akamjibu,Mbunge we2 yupo kiziara ya serikali na baada ya ziara yote ya mzunguko mambo yote yanafungiwa hapa Arusha Mjini,na ndipo wakaanza kujibizana mpk hata ikataka kuwa km siyo heri vile. Lakini yaonekana km yule jamaa mwenye kumpinga Lema ni jamii ya wale jamaa wa GAMBA (ccm) maana kuna jamaa alimjia juu na kumwambia hata juzi pale mtaa wa Majengo si ulikuwa una sera hii hii akaambiwa aondoke zake kwny kile kijiwe,na ndipo huyo jamaa akaishia na mshikaji wake aliyekuwa naye. Swali langu mimi,Je? Ina maana kuna mbinu hawa jamaa wa CCM wana2mia waweze kulichukua hili jimbo majira nyingine ijayo?? Maana naona wanasambaza vijana wa kutembelea vijiwe na kumchafua Godbless Lema.
   
Loading...