ZEE BABA
Senior Member
- Jan 19, 2011
- 169
- 59
Inasikitisha sana lkn ndio ukweli,askari waliopo DRC ni kama wametelekezwa .Nimeongea na askari wanaokuja likizo kutoka DRC wanalalamika sana kwanza hadi sasa hawajui watalipwa shilingi ngap mission ikiisha ambapo ni tofauti na askari wa mataifa mengine lakini pia hakuna kiongozi hata mmoja anaekwenda kuwatembelea pia ni tofauti na nchi nyingine ambapo wazir wa ulinzi amewatembelea mara nyingi,,,,pamoja na kwamba wapo chini ya UN lkn ni wanajeshi wetu.
Askari hawaruhusiwi kugoma wala hawana njia mbadala ya kuelezea masikitiko yao hivyo wapo kama kondoo tu. Nakumbuka mission ya Darful ambapo askari walilipwa kiduchu mno kwa kisingizio kuwa nchi yetu ni masikini, swali la kujiuliza UN wanatoa pesa zinakwenda wapi? Au ndio Neema za kuwa mkubwa ? Inasikitisha sana hawa wanajeshi wanafamilia zao ,,tusisubiri hadi afe ndio zitoke mil 70 ,,,wapeni hela zao zote.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums