Wanajeshi wetu DRC

ZEE BABA

Senior Member
Jan 19, 2011
169
59
Inasikitisha sana lkn ndio ukweli,askari waliopo DRC ni kama wametelekezwa .Nimeongea na askari wanaokuja likizo kutoka DRC wanalalamika sana kwanza hadi sasa hawajui watalipwa shilingi ngap mission ikiisha ambapo ni tofauti na askari wa mataifa mengine lakini pia hakuna kiongozi hata mmoja anaekwenda kuwatembelea pia ni tofauti na nchi nyingine ambapo wazir wa ulinzi amewatembelea mara nyingi,,,,pamoja na kwamba wapo chini ya UN lkn ni wanajeshi wetu.

Askari hawaruhusiwi kugoma wala hawana njia mbadala ya kuelezea masikitiko yao hivyo wapo kama kondoo tu. Nakumbuka mission ya Darful ambapo askari walilipwa kiduchu mno kwa kisingizio kuwa nchi yetu ni masikini, swali la kujiuliza UN wanatoa pesa zinakwenda wapi? Au ndio Neema za kuwa mkubwa ? Inasikitisha sana hawa wanajeshi wanafamilia zao ,,tusisubiri hadi afe ndio zitoke mil 70 ,,,wapeni hela zao zote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inawezekana hii ni biashara ya mkubwa ndo maana huwa yuko faster kupeleka majeshi yetu kwenye mission za UN anajua atavuna Bingo la UN la kutosha,na ndo maana kwenye mission zinazo simamiwa na AU awapeleki wanajua amna kitu kule..poleni wanajeshi kazi mnafanya nyinyi uko kongo ,mshahara wanakula wao hapa dar..aisee kwli hii nchi ukiipatia ni nyepes mno .ndo maana wachina hawataki kurudi kwao.
 
Tulieni mnyolewe nyie wanyar. JWTZ wako chini ya UN so ondoa propaganda ambazo hazina fact.
 
Hakuna sehemu yenye ufisadi mkubwa na wa kutisha kama jeshini
mleta uzi sio siri umetumwa wewe askari wetu wa tz wako salama na wanalipwa vizuri sana ndo maana wakirudi hadi yule asie na cheo wanadrive wanajenga acha uchochezi wako
huwezi linganisha APR WA HUYO KAGAME WENU
 
Kabla ya kupost malalamiko fanya utafiti wa kina kuhusiana na issue unayo iongelea, make unaweza jikuta upo mbele sana
 
Inasikitisha sana lkn ndio ukweli,askari waliopo DRC ni kama wametelekezwa .Nimeongea na askari wanaokuja likizo kutoka DRC wanalalamika sana kwanza hadi sasa hawajui watalipwa shilingi ngap mission ikiisha ambapo ni tofauti na askari wa mataifa mengine lakini pia hakuna kiongozi hata mmoja anaekwenda kuwatembelea pia ni tofauti na nchi nyingine ambapo wazir wa ulinzi amewatembelea mara nyingi,,,,pamoja na kwamba wapo chini ya UN lkn ni wanajeshi wetu.

Askari hawaruhusiwi kugoma wala hawana njia mbadala ya kuelezea masikitiko yao hivyo wapo kama kondoo tu. Nakumbuka mission ya Darful ambapo askari walilipwa kiduchu mno kwa kisingizio kuwa nchi yetu ni masikini, swali la kujiuliza UN wanatoa pesa zinakwenda wapi? Au ndio Neema za kuwa mkubwa ? Inasikitisha sana hawa wanajeshi wanafamilia zao ,,tusisubiri hadi afe ndio zitoke mil 70 ,,,wapeni hela zao zote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sina uhakika na ulichokiandika.
 
Waziri wa mambo ya nje na yule aliyekuwa wa ulinzi wapo busy na jalamba la urais 2015.
 
Huyo uliyeongea naye hawezi kuwa askari,na kama ndiye alivaa kombat bila kupitia depo...ni askari aliyeruka mafunzo tu ya uzalendo anayeweza kufanya hivyo...
 
Lisemwalo lipo maana , hakuna lisilowezekana Bongo. Askari wakawa wanapiga mzigo kuwadhibiti M23 na mshirika wao Kagame huku viongozi Wananehemesha Account zao South Africa na Kwingineko. Lisemalo lipo si bure malalamiko hayo..
 
Thread nyingine humu za ajabu sana - kwani JWTZ walikwenda huko wakiwa chini ya mwamvuli hupi? Tanzania inahusika kivipi kuwalipa wanajeshi ambao wako chini ya UN?
 
mleta uzi sio siri umetumwa wewe askari wetu wa tz wako salama na wanalipwa vizuri sana ndo maana wakirudi hadi yule asie na cheo wanadrive wanajenga acha uchochezi wako
huwezi linganisha APR WA HUYO KAGAME WENU

Wanamuona kagame kama mungu wao. Eti kwasababu anawaua wasomi ambao ni wahutu. JWTZ itawanyosha tu. meyataka wenyewe
 
Lisemwalo lipo maana , hakuna lisilowezekana Bongo. Askari wakawa wanapiga mzigo kuwadhibiti M23 na mshirika wao Kagame huku viongozi Wananehemesha Account zao South Africa na Kwingineko. Lisemalo lipo si bure malalamiko hayo..

Kanywe maziwa ya punda ukalale wewe.
 
Inawezekana hii ni biashara ya mkubwa ndo maana huwa yuko faster kupeleka majeshi yetu kwenye mission za UN anajua atavuna Bingo la UN la kutosha,na ndo maana kwenye mission zinazo simamiwa na AU awapeleki wanajua amna kitu kule..poleni wanajeshi kazi mnafanya nyinyi uko kongo ,mshahara wanakula wao hapa dar..aisee kwli hii nchi ukiipatia ni nyepes mno .ndo maana wachina hawataki kurudi kwao.

umeongea point hapo kuna mkono wa mtu
 
ktk madai ambayo serikali ya tz iko very sensitive kuyafanyia kazi na kwa haraka ni yale yanayohusu wanajeshi hasa wale ambao bado wapo ktk ajira.hii nachukulia kama propaganda toka Team PK.
 
Back
Top Bottom