Wanajeshi wampiga trafiki kikatili, wadai kucheleweshwa Ubungo Dar

Nadhani nchi nyingine especially zilizoendelea wana traffic load kubwa tu kuliko sisi na yet sijaona wakitumia traffic police kwenye intersection. mambo ya umeme au muda wa magari kuruhusiwa ni suala tu la kutafuta na ku-install right technology will do the trick..hamna uchawi.

We are still in the stone age era when it comes to technology, taa za barabarani za mwanga wa jua zinatushinda
 
Nadhani nchi nyingine especially zilizoendelea wana traffic load kubwa tu kuliko sisi na yet sijaona wakitumia traffic police kwenye intersection. mambo ya umeme au muda wa magari kuruhusiwa ni suala tu la kutafuta na ku-install right technology will do the trick..hamna uchawi.

Mkuu, hapa nilipo mara kadhaa wakati wa rush hour nimeona police wakiongoza magari wakati taa zinafanya kazi.

Hao wanajeshi wana makosa huwezi kwenda kumpiga mtu kisa kakuchelewesha, walichotakiwa kufanya ni kwenda kuongea naye.Huyo Luteni Kanali ni wa kushushwa cheo ameshindwa kuwadhibiti, alafu huyo huyo ndio aje apewe kikosi cha kuongoza wakati wa vita hmmm!!
 
Miafrika hiyo babake
 
Nakupongeza sana mayapila pia nakupa pole ,hawa wapumbavu hawajui walitendalo ,kazi kwako mwema na mwamnyange, ila swara la kuunda tume nila kijinga sababu inaeleweka,wanajeshi watanzania hawana adabu sikuzote wanajiona wao wako sawa wao ndio wana uhuru wakila kitu kwakweli wamemzalilisha mwenzao endapo hatutapewa taalifa niniwamefanyiwa kama adhabu tutajua tufanyenini kwahawawajeshi manake wengine tuko nao mitaani watabeba misalaba yaho wenzao hawana adabu.
 
THE OTHER SIDE OF THE STORY.....!
TUSIWALAUMU WALA KUWAPONGEZA kwa kitendo hiki, mi nadhani wao pia si machizi waamue tu kukurupuka na kuchukua hatua mikononi mwao eti kwa vile tu wamecheleweshwa.....!
Historia yangu hafifu inajionyesha kuwa watu hawa (WANAJESHI) huwa ni watu wenye nidhamu ya hali ya juu na pindi "wafungapo mtaa" si kwa sababu ya chuki binafsi bali ni katika KUREJESHA NIDHAMU NA HAKI PALE AMBAPO TARATIBU ZA KAWAIDA (SHERIA?) ZIMESHINDWA.....!
Historia nyingine hafifu ni ile ya UHASAMA KATI YA VYOMBO HIVI TEGEMEZI....! Huku inaonekana pale ambapo mikwaruzo inatokea basi chombo kimojawapo hupendelewa sana katika maamuzi hayo hasa (POLISI) huku chombo kingine kikionekana ni dhalimu/wapindishaji sheria/washushwe vyeo(JESHI)
MAONI NA MAWAZO YANGO ...KABLA YA KUKURUPUKA NA HUKUMU KUNA MAMBO YA KUYAANGALIA KWANZA .......!
 
Nadhani nchi nyingine especially zilizoendelea wana traffic load kubwa tu kuliko sisi na yet sijaona wakitumia traffic police kwenye intersection. mambo ya umeme au muda wa magari kuruhusiwa ni suala tu la kutafuta na ku-install right technology will do the trick..hamna uchawi.

Hata mimi hapa nilipo kuna mara nyingi wakati wa Rush Hour ambapo Polisi huongoza baadhi ya Intersections, kwa hiyo si kweli kuwa nchi zilizoendelea vitu kama hivyo hakuna.

Wanajeshi wengi wa Tanzania wanajifanya na viburi vya hali juu sana, inabidi wote walioshiriki kwenye uhalifu huo wakamatwe mara moja na kushitakiwa na adhabu kali ifuate. Na wanajeshi wengi utakuta wamejazana Dar, hivi kwa nini wasipelekwe vijijini huko wakajenge barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo ya Taifa, maana asilimia yao kubwa ni kula kulala bila ya shughuli za kufanya.
 
Tukio hili la aibu ni dalili za wazi kuwa;
  1. Wanajeshi wana upungufu wa nidhamu.
  2. Vile vile wanadhani kuwa kazi zao ni muhimu kuliko za wengine, au
  3. wanafikiri (nchi hii haina sheria na) wao wako juu ya sheria zote.
  4. Nadhani pia ni dalili ya ukosefu wa wa subira kwa hali ya juu.
Wanajeshi hao hawatafanywa lolote, hata kama zitaundwa tume 100. Hali hii ya uvunjivu wa sheria kwa makusudi inaanza kuwa jambo la kawaida kwenye taasisi mbalimbali.

Recta,
Nimezing'arisha point zako maana naona zinafaa kusomeka na wengi.

Jeshi wanapoanza kujiona kuwa wako juu ya sheria kuliko raia na sasa hata jeshi la polisi wakiongozwa na kanali wao, basi tujue kuwa nidhamu ya jeshi letu ni mbaya sana.

Hatua za kudhibiti hii hali zisipochukuliwa basi tusije tukashangaa wakawa kama wale wa Congo, Comoro n.k. ambao hutumia silaha zao kujitatafutia maisha bila kuiogopa sheria. Hii itafuata sio muda mrefu kama hali hii itaachiwa kuendelea.
 
Nadhani nchi nyingine especially zilizoendelea wana traffic load kubwa tu kuliko sisi na yet sijaona wakitumia traffic police kwenye intersection. mambo ya umeme au muda wa magari kuruhusiwa ni suala tu la kutafuta na ku-install right technology will do the trick..hamna uchawi.

Mtindio.W.U,
Tatizo hapa sio la kwa nini polisi aongoze magari, hii ni kawaida kwenye sehemu mbali mbali duniani. Uwiano wa idadi ya magari unapotofautiana na programing ya taa, basi askari hutumika. Lakini nafikiri Ubungo hata taa hazifai, pale panahitaji flyovers.

Tatizo la kilichotokea hapa ni la uvunjwaji wa sheria tena na wale tuliotegemea kuilinda nchi na katiba yake. Hili ni hatari sana kwa usalama wa nchi kwani wenzetu hawa wamepewa majukumu ya kuhifadhi na kutumia silaha kubwa kubwa za moto zilizo na madhara zaidi ya yale mabomu ya Mbagala.

Sasa kama askari wetu wanajiona kuwa wao wako juu ya sheria, watashindwa vipi siku nyingine kutumia silaha zao kunyanyasa umma?
 
Leo mchana nimeshuhudia kituko kingine cha wanajeshi wapumbavu!! Kisa kilikuwa hivi, majira ya saa nane , eneo la Selander Bridge, kulikuwa na magari mawili (Landrovers) ya JW yanatokea Sea View kuelekea Ali Hassan Mwinyi Road. Ni kawaida kuwa na msongamano wa magari muda huo hususan kati ya Selander na Stanbic HQ. Sasa wale wanajeshi baada ya kuvuka tu Selander Bridge kuona kuna kafoleni kadogo... uvumilivu ukawashinda, wakavuka upande wa pili wa barabara... wakaingia barabara inayotoa magari toka Stanbic HQ kuelekea Selander... Punde hayo ya kutokea upande huo nayo yakaruhusiwa... wakajikuta wako katikati... kwa ubabe wakawa wanalazimisha... ndani ya nusu dakika wakamgonga mwendesha pikipiki.... Masikini aliumia lakini wala hawakujali. Sikushuhudia kilichofuata kwani ile foleni waliyoikwepa ilikuwa inasogea kwa kasi baada ya taa kuruhusu pale Stanbic HQ.

Akili zao ndogo hawa...Someone has to take action!!! No one is above the law!!
 
Mundu,
Inaonekana vitendo vya kihuni vya Askari wetu wa JWTZ vimekithiri na inaelekea hakuna anayewashughulikia.

Tuendelee kuviorodhesha ili hizi kelele zetu zitawafikie wanahabari/magazeti/watawala wetu/ wanasiasa n.k., ili pengine sheria ichukue mkondo wake, na hatimaye wahusika waadhibiwe na marekebisho kufanyika.

No one should be above the law.
 
Leo mchana nimeshuhudia kituko kingine cha wanajeshi wapumbavu!! Kisa kilikuwa hivi, majira ya saa nane , eneo la Selander Bridge, kulikuwa na magari mawili (Landrovers) ya JW yanatokea Sea View kuelekea Ali Hassan Mwinyi Road. Ni kawaida kuwa na msongamano wa magari muda huo hususan kati ya Selander na Stanbic HQ. Sasa wale wanajeshi baada ya kuvuka tu Selander Bridge kuona kuna kafoleni kadogo... uvumilivu ukawashinda, wakavuka upande wa pili wa barabara... wakaingia barabara inayotoa magari toka Stanbic HQ kuelekea Selander... Punde hayo ya kutokea upande huo nayo yakaruhusiwa... wakajikuta wako katikati... kwa ubabe wakawa wanalazimisha... ndani ya nusu dakika wakamgonga mwendesha pikipiki.... Masikini aliumia lakini wala hawakujali. Sikushuhudia kilichofuata kwani ile foleni waliyoikwepa ilikuwa inasogea kwa kasi baada ya taa kuruhusu pale Stanbic HQ.

Akili zao ndogo hawa...Someone has to take action!!! No one is above the law!!

Mkuu Mundu,

Wewe ulikuwa sehemu gani hasa, wakati wote wa hili tukio?
 
...nikifikiria hao traffic walivyo washenzi na wala rushwa number one naona poa tuu ingawaje no one above the law hao wanajeshi lazima washughulikiwe nao kisawasawa..traffic wa bongo anakusamamisha bila kosa then anakusingizia chochote ili umpe pesa,lakini unategemea nini wakati bosi wao ni kikwete
 
Hili na tatizo la kuweka wanajeshi karibu na raia. Hawa jamaa kusema kweli, ni darasa la saba kama wamejitahidi. Sasa wewe unampa mjinga silaha, lazima ajifanye mbabe.
Sheria Tanzania lazima iendelee kuwa. Na mojawapo ni kuhakikisha hawa wanajeshi wanafuata sheria kama watu wengine!
 
Wanajeshi wengine bongo wako barbaric na hawana discipline, huyu anatakiwa kuwa court marshalled.

Ila jeshini kuna ushabiki wa kitoto sana wa jeshi vs Polisi, I doubt atawajibishwa.

Kwa maoni yangu hawa wanastahili kabisa kufukuzwa jeshini ili kutoa fundisho kwa wanajeshi ambao wana tabia ya kujichukulia sheria mikononi mwao na mara nyingi huwa ni kutoa vipigo kwa raia au polisi.
 
Mnaona sasa kuwa jeshi halina mpango. Sijuhi kwanini wasomi walipelekwa JKT. Ndio maana wasomi wa watanzania ndio walivyo.
 
Kwa nini hii story ipo kwenye jukwaa la siasa? Au kwa kuwa jukwa la siasa ndiyo linaelekea kuwa na wasomaji wengi basi kila habari mtu ana post hapa ili isomwe? Inabidi watu tuweke thread sehemu zake la sivyo kutakua hamna maana ya kuwa na hizi forums mbali mbali. Anyways hao wanajeshi wanabidi waadhibiwe maana si mara ya kwanza kwa wanajeshi wa JWTZ kuleta ubabe kwa raia au polisi.
 
Hata mimi hapa nilipo kuna mara nyingi wakati wa Rush Hour ambapo Polisi huongoza baadhi ya Intersections, kwa hiyo si kweli kuwa nchi zilizoendelea vitu kama hivyo hakuna.

Ok, from scientific point of view kwa kuwa wanafanya hivyo it doesn't mean its scientific, there should be some explanation for that. Kuna scenario huenda wameona design parameters za road network zimebadilika and something needs to be done.

Binafsi bado naamini kwa bongo it doesn't make much sense, traffic police are misused, utakuta mchana wa saa sita wanaendeleza libeneke sasa sijui ni peak loads gani hizo zinazochukua more than half a day.Wanaongoza magari out of kuzoea na with no proved reason.
 
Mnaona sasa kuwa jeshi halina mpango. Sijuhi kwanini wasomi walipelekwa JKT. Ndio maana wasomi wa watanzania ndio walivyo.

Tatizo hawa wajeshi kwa sasa hawana kazi kubwa zaidi ya kuwa makambini... na idadi yao inazidi kuongezeka, dawa ni kuwalea na kuwapa kazi mbalimbali za ujenzi wa taifa ili kuondoa muda wa kuvimba vichwa

Lakini pia tujiulize, inawezekana what we see ni signs tu za mambo kuwa si mambo tena kwani hata wao ni binadamu na wameshaonyesha ukosefu wa uvumilivu, bahati mbaya victims wao sio serikali bali ni raia

Nakumbuka Seerdoff wa Milan aliwahi kusema hooligans katika italian footbal matches ni sign kubwa ya hali ya kijamii na uchumi Italy kuliko footbal yenyewe

Its a high time we look at the other side and use their acts as signs for disorganization and frustrations reaching the the far side of our country
 
Hivi wanajua kuwa kuna hata intanet siku hizi?? nachelea tusije tukawa na jeshi la akina David Msuguri!
 
Back
Top Bottom