Wanajeshi wakisaidia kumvusha mtoto kuepuka wataliban

Mkuu Taliban alikuwa kajificha wapi miaka yote 20 ambayo Marekani yupo?

Wangekuwa Marekani ni wema na Taliban wanachukiwa na wa Afghanistan basi wangewaripoti tu wote kundi lingesambaratishwa.

Lakini ni hao hao Raia ndio waliwaficha Taliban, na kama nilivyosema huko juu si kwamba Taliban ni wema na wao Wana majanga yao, ila ni Lesser evils, serikali ya Zamani ilitesa zaidi watu na kuua.

On average kwa siku Askari 22 wanajiua wa jeshi la marekani, toka September 2001 wanajeshi 30,000 wamejiua wenyewe, na 7000 tu ndio wamekufa Vitani.

Sababu ya Hawa wanajeshi kujiua kubwa ni ubinadamu na kujuta, wameua malaki kama sio mamilioni ya watu, kila siku unapiga mabomu watoto, wanawake na watu wasio na hatia, wakirudi marekani kule hawaishi kwa raha, nightmare na ndoto za kutisha, mpaka mtu anajiua, the way mwenyezi Mungu alivyotuumba malipo ni hapa hapa duniani.

WA Afghanistan wameteseka sana, wameuliwa sana, wamebomolewa makazi yao na mateso ya kila aina toka kwa hao wamarekani na washirika wao, ndio maana unaona Taliban Amepita kirahisi hivyo.
Kwa asilimia kubwa naungana na wewe ila nakupinga kwenye kukubalika kwa Taliban. Popote kulipo na ugaidi lazima kutakuwa kuna watu wanawakingia kifua hilo lipo dunia nzima ila hiyo haimaanishi kuwa majority wanawaunga mkono.

Tatizo la Marekani kila anapoenda kupambana na ugaidi anageuka kuwa tatizo la pili kwa raia wa nchi husika. Wanajeshi wa Marekani lazima wawe na vichwa vibovu mambo wanayoyafanya binadamu wa kawaida hatakiwi hata kuyaona. Siku za karibuni tu hapa kuna whistleblower anaitwa Daniel Hale ambae ni Drone Pilot amefungwa miezi 45 kwa kuvujisha siri kuwa Drones mara nyingi huwa hazilengi target iliyokusudiwa badala yake wanalenga watu wasio na hatia, wakili wake alikuwa anahojiwa anakwambia maranyingi marubani wa hizo drones wanatumia madawa ya kulevya na serikali inajua hilo.
 
Kama nilivyosema juu mkuu si kwamba Nawatetea Taliban kama watu wema, 1996-2001 walikuwa na wao wakiwatesa Sana wa Afghanistan.

Ila between Wamarekani na Taliban majority wanachagua Taliban kama lesser evil,

Nilitoa source hii ya wa Afghanistan waliokuwa ukimbizini Pakistani wanarudi nyumbani sababu mabomu yameisha.

Watu wanataka stability tu, Ile mtu ana weza kulima mpaka kuvuna kwa amani.

Ngoja tuangalie yajayo mkuu.
 
Mtoto mdogo ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja ameonekana siku akivushwa na wanajeshi wa Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kabul nchini Afghanistan leo.

Tukio hilo limetokea wakati ambapo wazazi pamoja na wakazi nchini humo wakijaribu kunusuru maisha ya watoto wao kwa kuwakabidhi mikononi mwa wanajeshi wa kimarekani huku wakiamini itakuwa ni sehemu salama kwa watoto hao kuwa watalindwa dhidi ya ghasia za wanamgambo wa Taliban.
View attachment 1906105

Unafiki huo,, hawana lolote
 
Mimi si mtu utakaenishawishi na picha za Ki propaganda kama hizo, watu zaidi ya milioni 5 wameathirika picha moja sawa umeleta na hao wengine milioni 5 je?

Si jambo la kificho ni kweli drones za jeshi la marekani zinapiga mpaka Harusi na ushahidi upo tena toka ndani ya Jeshi, je hao maelfu waliokufa na hizo drones unawaambia nini familia zao? Wawasamehe wamarekani sababu wameokoa mtoto mmoja?

Wamarekani walikuwa wakiua watu wengine wanawake wanawapiga risasi, then wanazitoa risasi na kusema eti wameuliwa na local people, mpaka investigation Ya mwandishi mmoja wa habari kuja kufichua huu uovu

Watetee unavyowatetea ila Hao jamaa ni waovu kupita maelezo na hakuna jeshi lolote duniani ambalo wanajeshi wake 22 wanajiua kila siku kwa ku feel guilty.

kwa unyama waliofanya wamarekani zidi ya waafganistani tulitegemea wakimbizi wengi wangukuwa wanakimbilia saud arabia yemeni irani kuweit,
 
Ushawahi kuangalia Ramani ukaona Afghanistan ipo wapi na inazungukwa na Nani?

Afghanistan haipo Middle East hivyo ni ngumu kwa wakimbizi kukimbilia huko, Bali ipo Indian Sub continent kule imepakana na Nchi za Iran, Pakistan, Tajikistan, Uzbekistan na Turkmenistan.

So far wakimbizi wengi wa Afghanistan wapo Pakistan Takriban milioni 1 na nusu wakifuatiwa na Iran laki 7.

Hao USA unaowatetea Wana Wakimbizi 15,000 tu, tena ni vibaraka wao, wala hawana Time na raia wa kawaida wa Afghanistan.

Nchi za ulaya/Nato Kama Ujerumani, Uturuki, Austria Etc zina wakimbizi Wengi japo hazijapiga vita, zinapata Tabu kulea watu sababu ya Fujo Za Marekani.
 
shekhe hoja zako nzur ila zinapoteza mana unapochanganya na chuki, unasema wakimbizi walioko marekani ni vibaraka wao unawezaje kulithibitisha hilo?
 
Soma hii Article toka voice of America.

Hiki kipande nimekitoa
Though no promises were made on how many people were expected to be evacuated, the Biden administration has repeatedly said it is working to speed up the evacuation of Afghans in danger who assisted the U.S. military

Marekani hachukui wakimbizi na wao wenyewe wanasema wanaowachukua ni wale waliosaidia jeshi La Marekani, aka vibaraka wa marekani.

Wakimbizi wengine wataenda tu uturuki, Ujerumani, na kwengineko , Nchi ambazo hata hazihusiki zinapata Tabu sababu ya US.
 
Baba mwajuma anatetea Taliban ....what a surprise!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom