Wanajeshi wageuka matraffick usiku lugalo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wandugu kuna wanajeshi watatu wanakamata pikipiki hapa lugalo wasio na helmet na ambao wanapita pembeni mbaya hata wakiovertake wakiwa barabarani
wanwasimamisha alafu wamewatenga wa kulia na kushoto mmoja wa watu aliokamatwa ambae niko nae ilibidi nipaki [[emben kujuza kinachoendelea akasema
wamekamatwa tangu saa moja na nusu jamaa wanatka si chini ya alfu 5 yaani 5000 ndi wawaachie yeye anadai ndio ameanz usiku huu akapata kichwa cha alfu tatu ndio kakishusha sasa anatarajia alf 5 nipate wapi alisistiza kijaa yule kwa huruma

embu wakuu wa jeshi liangalien hili wanajeshi wamageuka traffick usiku wakiomba rushwa kumbe afadhali wale nyangeenyange wetu wanaomba rushwa mchana hawa wa usiku wabaya zaidi ya majini
 
Ndio nchi yetu hiyo haina tofauti yoyote na uwanja wa fisi.
 
Piga simu kwa kova tafadhali uulize kama amewapanga kazi hiyo vinginevyo lawama atawarudia usalama barabarani?
 
Bubu aibu sana ilinibidi nipaki pembeni nilipowafatwa nikajifanya nimemowna ndugu yangu niliporudi ikabidi nifungue mkoba wangu niwatwange live
brigedia kioko,mh mwagomole ,,kanali lusekelo haya ndio mnafundishaga mchana usiku wanayafanyia kazi maana nasikia zile pikipiki na defender uwekwi kule kienyeji
ukiweza kukubali masharti unakabidhiwa mwisho wa wiuki wakubwa wa central wanachota chao ole usipeleke hata iki moja utalinda wale mahabusu cemtral mpaka uone
 
Mkuu hizo namba tunazo basi watu wa bunju wanagawiana wa masaki na osterbay zile unazoona kwenye vituo ukipiga unaweza ukapiga usiku ikapokelewa asbh saa 12 unaulizwa una shida gani zile za usanii na urembo
 
mbona kwa tz ni kawaida?hii nchi haina utawala wa sheria.mfumo wa uongozi umeshaoza.mia
 
Hawana hata namba nilichoona ni lebo ya mp mmh nikaona niwah wasijenipa maji na boc la sabuni nikaoge mule ndan liishe sasa mamadidy sijui atasemaje maana na rangi yangu black handsome ukimalizia zote unakuwa kama miss..utele awana maana kabisa hawa ukwieza kujiadhari nao much better..ila kilichoniumiza ni kuzijaza piki piki zaidi ya kumi kulia na kushoto kumi na huku wakikomaa 5000 si bora traffick wetu wanakomaa wakiona na kazi zao ni muhimu zaidi wanachukua buku zao 2 ingawa nimeambiwa kuna wa buku pale kurasini anyway zote ni thamani...kuliko hawa wanakula ndumu alafu wanakuja kukamata watu usiku
 
Back
Top Bottom